Akaombewe wakati makanisani kuna kesi malaki ya mapadri na wachungaji ambao wapo kama yeye na walijitahidi kuficha ikashindikana? Mala ngapi tumeskia shekh ka--- wanafunzi wake na wanakamatwa? Ulaya waliua sana watu kama hawa na Hitler ndo alikuwa kiboko lakini wameshagundua kuwa mtu haamui ila ni genes zinazoamua. Kama akiweza kuzicontrol anaweza akaishi kiseja au akawa na mpenzi wa jinsia tofauti ila haitadumu. Watu waliokaa nje naomba muwe mnajaribu kuwaelewesha watu kuwa haya ni maumbile. Sisi huku kwetu hasa Tanzania tunajifanya ni laana wakati tuna misamiati kabisa ya jinsia hizo. Muulize msukuma kama ana jina la kisukuma la mtu wa aina hiyo au mhaya. Pwani wamekuwa na genes corruptions kwa muda mrefu ndo maana wana majina ya watu hao.Aisee ikatae hiyo roho ya kutamani wanaume wenzio nenda kanisani ukaombewe
ahsante,na hongera kwa wako kuwa mkubwa ndugu!Narudia "Mungu alimuumba mtu mke na mtu mme"
Suala la visual, hearing and physical imparements ni nshu nyingine lakini sio hii ya kishoga.
Mwalimu ,unaonekana uelewa wako ni mdogo madamme!
tumejenga mazoea ya kulaumu kila kitu!Watu wengi hawatakuelewa,tatizo letu ni kufumbia macho vitu kama hiv au kulaumu wazungu au mitandao,lakini haya mambo yapo sana.mimi niliwahi kusoma na mtu anaongea kama mwanamke na matendo yake kama demu kabisa,tulikuwa shule ya msingi,yaani nnachokumbuka kuhusu yule jamaa ni kumuona kila wakati akikimbizwa na wanzake wampige,n ukimpitia karibu kama mpo kundi unaona uso wake unakuwa wa woga ,akifikili mnaweza kumpiga.
Mpaka leo nikikumbuka najiskia vibaya sana hakukuwa na mtu wa kumsaidia.
muhimbili upande wa tiba ya akili pia wanaweza kukusaidia!hizi dawa nitazipata wapi
Kuna kitu naona wengi tulikua hatuja uelewa vyema huyu bwana,yeye angekua anatamani kuingiliwa asingekua na hamu na wanawake ila ninachoona hatamani kuingiliwa ila anatamani kuingilia na kama alivyo shauriwa na jamaa moja hapo juu ni vyema akatafuta girl moja ambaye atamsave kupoyeza hizo hisia za upande ambao kimaadil sio sawa, sio tamaduni yetu kabisa na ni aibu hata kumuelezea MTU!Naanza na haya maswali kwanza..;
1. Je, ulishawahi kuota unaingiliwa kimwili na mwanaume mwenzako!?
2. Ulishawahi kushiriki hivi vitendo ulipokuwa mdogo(na marafiki au kubakwa)!?
3. Maumbile yako yapo kiume..au una mwili soft, hips zimetanuka kuliko kawaida na kifua chako kipoje!? ..Ntaomba unijibu...
Haya tuendelee. Iko hivi mkuu...
1. Kuna sababu nyingi ila moja wapo ni hili tatizo la kisaikologia na usipolisolve lina madhara makubwa baadae cuz hizi pande mbili zinazovutana kuna moja lazima itashinda tu na itakayoshinda alwayz ni ile mbaya.... Jitahidi kujiepusha na kuwatazama sana wanaume cuz itakufanya iyo tabia izidi na kama hadi unaota hizo ndoto hapo ni mbaya zaidi mkuu..
2. Wengine wazaliwa hivi (siamini kama wewe ni mmoja wao) ingawa huwa wanapona baada ya tiba fulani hivi HOSPITALINI..
Ngoja niishie hapa kwa leo..
Wewe ni mwalimu kwa nilivyokusoma,nimependa sana ustaarabu wako ktk kushauri juu ya swala hii...umeonyesha jinsi ulivyo na upeo mkubwa. Unajaribu kuielewa Dunia na sio mwepesi ya kuhukumu ama hupendi kabisa...Big up naamini unatufundishia vizuri sana watoto wetu.wewe anakunegative punish nani kwa madhaifu yako?
hebu kwendeni huko kazi kujihesabia haki tuuu!
we unafkr ni rahisi hivyo unajikuta unatamani mwanaume na mwanamke?
huyu hata hajaanza kufanya mapenzi ya jinsia moja!
ila kuna kitu ndani yake kinamsukuma kuwa ndiyo aina ya mapenzi anataiwa kufanya!
unapomtukana hivyo bila kumweleza nini cha kufanya unafikiri inasaidia?
ukimcharaza viboko kwa situation aliyonayo unasaidia?
ACHENI KUYATAZAMA MASIHA KATIKA BOXI MLILOJITENGENEZEA!
kuna watu wana shida mno na maumbile yao!
NA HAWAFURAHII HIZO HALI!
huyu ni mmoja wapo!
HAUWEZI KUMSAIDIA USIMUATTACK!
haikusaidii wala humsaidii!
Ukichambua historia za makabila mengine unaweza hata ukaomba tamaduni nyingine tusizifuate. Kuna makabila Afrika walikuwa wakiteka vijijini vya jirani wanachukua vijana wa kiume na kufanywa wake au zawadi wa wapiganaji.Tamaduni zetu twazifata?!! Kulawiti na kubaka watoto wadogo ni tamaduni za kiafrika? Lakini watoto wanabakwa wanalawitiwa tena na baba, babu, mjomba, jirani zao [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji18] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] . Kumbuka kuwa twaweza kuwa wa tamaduni moja lakini kila mmoja ana utofauti wake (individual difference). Tukatae tukubali hawa watu wapo sana.
Yaani wewe nawe unatamani kupigwa dushe au unatamani kupiga wanaume wenzako?Habarini wandugu,
Natumai mpo vyema sana mpaka nimefikia kuandika uzi huu ni kujiamini sana ila ndo ukweli na mficha maradhi kifo humuumbua.
Ok lets continue;
Nimekua nikivutiwa na both sex yaani men and women na sijui ni kwanini hivi ni mimi mwenyewe tu? Yaani hii hali inanitesaga mno.
Huwa mpaka najihisi ni mimi tu mwenye hali hii, hichi kitu kinanifanya najishangaa sana moyoni kuvutiwa na both sex yaani kuvutiwa na mwanamke na mwanaume.
Nahitaji ushauri nifanyeje juu ya hili maana sijui.
men mkuu
Umekosea maandishi au ndio usahihi wewe unanwambia mwenzako yuko sahihi kufuata hisia, lkn unaandika kuwa tuwafundishe watu kuhusu abnormalities za kwenye jinsia za watu.hakuna kitu kama KWANINI NIKO HIVI, AU IMETOKEA NINI NIKAWA HIVI. I think you should think of the positives about yourself!!
Hakuna mchawi, wala historia ya jinsi ulivyo, au ulivyotokea kuwa.
Nadhani hivyo ndivyo ulivyo, na ndivyo inavyokufanya wewe, na wewe pekee tofauti na wengine.
I think you are beautiful. Kuna haja siku za mbeleni, "endapo" ufahamu wa watu ukaongezeka, tukafundisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari juu ya maswala ya jinsia na ujinsia.
Tusiishie kwenye uanamke na uanamume, tupanue maarifa na kujifunza abnormalities zinazotokea katika jinsia za watu.
Kutoa matusi na kujifanya kuwa jambo fulani halipo ama halitakiwi kuwapo ni sawa na mbuni anayedumbukiza kichwa mchangani na kukiacha kiwili wili nje.
I think you got to love yourself, and enjoy your life.
Acha kutengeneza theories zako za kujihalalishia kuliwa tigo. It is ok kuwa na hisia lkn you need to control.Chakula cha mbuzi ni majani, ukimpikia nyama iliyokaangwa kwa iliki na karafuu kutoka dubai hatakula hata kama anataka kukata roho kwa njaa.
Kudhauraulika hakuzifanyi hisia zife.
Hakuna mazingaombwe yoyote ya kumfanya mtu abadilishe hisia zake.
There is no something like WHY DO I LOVE THIS PERSON, OR WHY DON'T I?
Hakuna maelezo wala tiba juu ya kumpenda au kumchukia mtu.
Huwezi ukaelezea kwanini unahisi hivi na kwanini haujahisi vinginevyo.
Unahisi , ndivyo hivyo na hakuna namna!!!