Binadamu tumeumbwa na matamanio,muhimù ni kujua mipaka.Kwa kuwa unatamani haina maana ukimbilie huko,kuna watu wanataman ku 'do' na wanyama,dada/kaka zao, lakini wanajikaza hivyo ndivyo tulivyo,binadamu ni viumbe complex sana.Hii hali hutokea tu, sijawai kumtamani mwanaume mwenzangu lakini, siku moja nipo darasani nilimuona mwanafunzi akiwa amekaa nilimtamani sana, sikujua kama ni me! Nilivokuja kumuona tukiwa nje ndo nikagundua ni me lakini bado namtamani! Mimi napendaga macho, yeye anamacho mazuri saana! Mnisamahe ndo nimeamka sasaivi.
Mtu anetamani wanaume wenzake ina maana,yupo tayari kufanya au kufanywa na hii ndio maana halisi ya kuwa shoga.Hayo majina mengine kama basha na msenge ni nembo tu za kujificha sababu wote wanauwezo wa kudinda,ingawa wengine ndio wnapenda kuwa wanafanywa md mwingi na wangine wanafanya lakini uwezekano wa hao jamaa kugeuzana ni mkubwa,hivuo mtu anaejiita basha pia usione anapitiwaga.Labda yeye ndio anatamani kuwatafuna wanaume wenzie. Hajajieleza vizuri anawatamani wa jinsia zote wamtindue au awatindue. Inaweza kuwa anawatamani wenzie awabashie.
Kwanza ajijue yy ni nani,ajitambue.Hebu msaidie huyu binaadamu mwenzio atoke kwenye hilo janga
Kutamani uwe una nywea chai au maji puani ni ugonjwa ingawa inawezekana. Hiyo ni sawasawa kutamani kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (anus) pia hii inawezekana na inafanyika kila siku lakini sio sawa kiafya na kimaadili(kwa maana ya kuwa tukiendekeza hii tutaathiri balance ya reproduction system:- Tunahitaji MWANAUME na MWANAMKE ili tuzalishe wanadamu wapya kwa njia ya asili).sifikirii kuwa homosexuality, bisexuality, au sexuality yoyeto nyingine ni ugonjwa unaohitaji tabibu.
Kwanini unadhani ni ugonjwa kupenda?
Kwa jinsi nimemuelewa Mimi ni kwamba ye hata akiona mwanaume ana kua na matamanio kama mwanamke kama sijakosea ndio mana huyu ndg kamjibu atafute mwanamke wa kumfanya awe bize,na kitu naona kwel itakua anaangalia sana porn huyu!!
Umewahi kushiriki matendo hayo au ndio umeanza kuhisi kutaka kufanya?yaani mkuu mwanamke na mwanaume kwangu naona sawa tu kwenye sex
Upo sahihi kabisayani nakuelewa!
JINSIA NA UJINSIA NI MADA KANGANYIFU SANA!
basi tu,huwa tunaishia kuzaa na kugenyeka!
ILA MWANADAMU KWENYE HILO ENEO AMEFUMBWA VITU VINGI SANA!
Mh pengine kweli watu wanaufaham mdogo kuhusu jinsia na ujinsia ila hivyo vitu sio nature na kumbuka nature always wine ndio sababu hata aliyetunga usawa kwa mwanamke na watoto pia moyoni ninahakika hakubali hilo. Sikia hy sio hari ya kawaida wala usimdanganye na kumtukana pia sio sawa tunapaswa kumsaidia hay n mambo yanayokuja sasa na sio tamaduni zet afrika kama wewe unaona tamaduni ya marekani ni bora kuliko ulipozaliwa basi pia unamatatiz ya kuto jitambua na usijalib kufundisha watoto wetu upuuz huo bana wenzio wameweka ndoa za jinsia moja ili kupunguz watu dunia wanamini dunia inakufa na wanayoiua n binadamu hata we pia kajielimishe zaidihakuna kitu kama KWANINI NIKO HIVI, AU IMETOKEA NINI NIKAWA HIVI. I think you should think of the positives about yourself!!
Hakuna mchawi, wala historia ya jinsi ulivyo, au ulivyotokea kuwa.
Nadhani hivyo ndivyo ulivyo, na ndivyo inavyokufanya wewe, na wewe pekee tofauti na wengine.
Wengi wanaotoa matusi na kukujeli ni watu duni na washamba wasio na ufahamu wowote wa masuala ya ujinsia, hisia, na mahusiano.
Matusi yao na ufahamu wao duni visikufanye ufifie moyo. I think you are beautiful.
kuna haja siku za mbeleni, "endapo" ufahamu wa watu ukaongezeka, tukafundisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari juu ya maswala ya jinsia na ujinsia.
Tusiishie kwenye uanamke na uanamume, tupanue maarifa na kujifunza abnormalities zinazotokea katika jinsia za watu.
Kutoa matusi na kujifanya kuwa jambo fulani halipo ama halitakiwi kuwapo ni sawa na mbuni anayedumbukiza kichwa mchangani na kukiacha kiwili wili nje.
I think you got to love yourself, and enjoy your life.
Niliwahi kufundisha watt mapacha!Upo sahihi kabisa
Hapa zitakuja theory nyingi ku justify visivyo halali na kinyume na nature.
Heads up na macho yawe open sio kila kitu unachukua tu kisa kimesemwa na mtaalamu. Tujiongezeeee
Gotcha.....Niliwahi kufundisha watt mapacha!
wakike na wakiume (mfano mmoja aitwe Eusebia mwingine Eusebius)
eusebia akikaa kweny dawati unamwita Eusebius
and the vice versa!
eusebia anacheza mipira yote kuanzia football mpk madochi sijui nn
eusebius anasoma cookery
Eusebia kila siku anakutwa kosa la kutokuandika notes na kutochomekea shati
Eusebius ndo best student kwa nidhamu na unadhifu!
Eusebia anaunguruma hapa na kule
Eusebia akiongea lazima umsogelee ndo usikie!
SIJUI NAELEWEKA?
wale watoto ukimsikiliza mama yao unalia kwa hakika!!
SIJUI WALIISHIA WAPI!
hata maumbile best!Gotcha.....
Ila hapo Maranyingi kuna myth nyingi wanaeza kuwa wamejengewa , kumfnya mmoja awe tegemezi.
Katika watu ambao unatakiwa kuwa tizama kwa makini basi ni twins. Ukipoteza step moja basi mmoja atapotea kwa urahisi sana