mgonga
Senior Member
- Oct 26, 2018
- 174
- 563
Asante mkuu,sijui aliingiaje kwenye neti usiku!asubuhi naamka uso wote haufai!nimeshindwa hata kwenda kujenga taifa!anapenda sana usoni na shingoni sijui kwa nini!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda pharmacy unaweza pata dawa. Kuna dawa niliwah tumia ya tube hakuna kovu lilibaki sema nmeisahau jina pole.
Ila hawa wadudu wanapenda sana uso sijui kwanini. Mimi nilivyo mweupe nikawa navaa nikabu nikitoka mpaka uso ulivyorudi
Sent using Jamii Forums mobile app