Msaada-Nairobi fly kaniharibu ngozi shingoni

Msaada-Nairobi fly kaniharibu ngozi shingoni

Usipake chochote zaidi ya kupaosha na maji safi na kupakausha na taulo safi taratibu, unaweza yaweka chunvi kidogo sana. Jizuie kupakuna na kupashika shika mara kwa mara. Nilifanya hivyo kwa mwanangu na palikauka pakapona.
 
Zamani tulikuwa tukiumwa nao, panapoanza kutoa alama na uvimbe tulikuwa tunasugulia kitunguu maji na palikuwa panakaa fresh.

Sijui kwa wewe uliyekaa muda mrefu kama inaapply
 
Ktk majibu yote lililonichekesha la kupaka dawa ya mswaki!!!😂😂
Uso uliuweka wapi mpk akauuma huyo fly..? Chukua tuzo ya kujisahau mkuu! Usisahau kujipaka dawa ya kusugulia meno au mswaki😂
 
Mkuu usicheke!labda hujawah kutana nae huyu mdudu!anapenda sana kuharibu usoni!wengi wanasema dawa ya meno inasaidia japo wanasema kuna wakati inaweza kukukataa ukaungua zaidi.
Ktk majibu yote lililonichekesha la kupaka dawa ya mswaki!!![emoji23][emoji23]
Uso uliuweka wapi mpk akauuma huyo fly..? Chukua tuzo ya kujisahau mkuu! Usisahau kujipaka dawa ya kusugulia meno au mswaki[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda pharmacy unaweza pata dawa. Kuna dawa niliwah tumia ya tube hakuna kovu lilibaki sema nmeisahau jina pole.
Ila hawa wadudu wanapenda sana uso sijui kwanini. Mimi nilivyo mweupe nikawa navaa nikabu nikitoka mpaka uso ulivyorudi
 
Huyu hapa msela mwenyewe[emoji45]

FB_IMG_15807303186593870.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom