Msaada: Nahisi kuwashwa ngozi na muda mwingine misuli inacheza

CONSTANTKD

Member
Joined
Jan 24, 2018
Messages
22
Points
45

CONSTANTKD

Member
Joined Jan 24, 2018
22 45
Jamani mimi nina tatizo naomba msaada tafadhali

Tatizo langu ni kwamba nahisi kama muwasho au kama vile kuna wadudu wadogo sana mithili ya utitiri(kwa kuku) wanatambaa juu ya ngozi lakini si wadudu maana siwaoni

Pili naisi muda mwingine misuli ya baadhi ya sehemu za mwili inacheza. Hii ni dalili ya nini?msaada
 

Forum statistics

Threads 1,366,189
Members 521,409
Posts 33,363,049
Top