MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,556
nadhani anaitwa narrow fly, na sio Nairobi fly, watu walikua wanakosea matamshi.....
Chukua mafuta ya break paka tatizo lako kwishney
Hiyo michubuko ikitoka wala hakuna madhara ya kutisha ...baada ya siku chache utakuwa kama ulivyokuwa ...wala huna sababu ya kutafuta dawa .....zaidi ufanye jitihada asikurudie huyo mdudu.
kwani mkuu kunauwezekano akanirudia tena huyo mdudu,i mean anaweza akawa amejificha kwenye kitanda
ukiona yupo mmoja ujue wapo wengi hapo sehem,haijalishi kama wameshakutembelea wana uwezo wa kukuaribu tena sehem nyingine tofauti.siwapendi hao wadudu kabisa hawana adabu
nadhani anaitwa narrow fly, na sio Nairobi fly, watu walikua wanakosea matamshi.....
Chukua mafuta ya break paka tatizo lako kwishney
nadhani anaitwa narrow fly, na sio Nairobi fly, watu walikua wanakosea matamshi.....
mdudu anayeitwa nairobi fly kanipitia.
Akhsanteni
Anaitwa Narrow Bee Fly
Acheni ujuaji, anaitwa Nairobi fly. Google umuone live.Anaitwa Narrow Bee Fly