Phone4Sale Unahitaji Simu Nzuri kwa Bajeti ya Laki 3 na nusu?

Digital Max

Member
Feb 10, 2023
11
4
Je,Una Bajeti ya Laki 350k na unahitaji Simu yenye Camera Nzuri inayokaa na Chaji??

Njoo nikuuzie Simu yangu TECNO CAMON 19, Bado Mpyaa kama unavyoiona

64MP camera, 5000mAH battery na Ram 4GB (6GB expandable) na128GB storage yake

Simu hizi bado hazipo kwa watu wengi, camera yake ni Nzuri sana na Chaji inakaa kinoma

Naiuza Sababu ya Changamoto ya haraka, Ipo na Boksi lake kwa ajili ya Uhalali plus Warranty

BEI nnayoiuza ni 350k tu (350,000/=), Kama unahitaji njoo inbox tuongee

Nicheki PM au Piga/Whatsapp 0627401779

Simu ipo Dar, GOBA
PXL_20230208_090118303.PORTRAIT.jpg
 
Lakini hii Simu ipo Vizuri sana, ipo ktk Excellent Condition imetunzwa ipasavyo kwa hiyo Mtu anaehitaji anicheki akikagua tu mwenyewe ataona ilivonyooka
 
Back
Top Bottom