Nina bejet ya laki tatu na nusu (350K) natafuta simu ya Redmi 12 yenye Gb 128 storage

Hammy H

New Member
May 14, 2023
4
2
Habari wana JF Members,

Nna bajet ya laki tatu na Nusu, nafikiria kutafuta simu ya Redmi 12 yenye Gb 128 storage.

Gb 8 RAM au naweza kupata Samsung kali yenye sifa hzo yaani ( gb 128 storage, 8 Gb Ram na Camera nzurii) kwa bei hyo?

Naomba ushauri Wakuu
 
Back
Top Bottom