Msaada: Nahitaji kusoma Air Traffic Controller Certificate ama dispatcher certificate hapa Tanzania

Jan 16, 2018
6
0
Wakubwa shikamooni, vijana wenzangu habari zenu

Mimi nahitaji kusoma Air Traffic Controller Certificate ama dispatcher certificate hapa Tanzania.

Naomba mwenye ufahamu anisaidie ni college ipi sahihi kwa kozi hizi ndugu zangu?

Asanteni.
 
Wakubwa shkamoon vijana wenzangu habar zenu ndg

Mi nahtaji kusoma air traffic controller certificate ama dispatcher certificate hapa tz naomba mwenye ufaham anisaidie in college IPI sahihi kwa kozi hizi ndg zang
Asnten

Waone Mamlaka ya Hali ya Hewa watakuwa na majibu yako ' mujarab / sahihi ' kabisa Mkuu huku Sisi tutakudanganya tu.
 
Wakubwa shkamoon vijana wenzangu habar zenu ndg

Mi nahtaji kusoma air traffic controller certificate ama dispatcher certificate hapa tz naomba mwenye ufaham anisaidie in college IPI sahihi kwa kozi hizi ndg zang
Asnten
Regional Aviation College Pale airport terminal one au nenda N.I.T lakini usiende kusoma kwa sababu ni majina tu makubwa hiyo dispatcher angalau lakini hiyo ATC moto ujipange kichwa kiwe sawa kumbuka ndege ziko hewani wewe ndio unaziongoza hehehe pesa tamu ila shughuri nafikiri wanafanya masaa manne tu hivi ndo uone shughuli ilivyo tamu
 
nimeshindwa kusoma uzi wako umeandika maandishi madogo wakati mie macho yangu yameshajifia na miwani nimesahau kwa Mwanaidi na mke wangu nimemdanganya imepotea
 
Regional Aviation College Pale airport terminal one au nenda N.I.T lakini usiende kusoma kwa sababu ni majina tu makubwa hiyo dispatcher angalau lakini asante mkuu nashkuru kwa ushauri wako nitapata taarifa zaid kama ulivonishauri hapo ktk vyuo husika mkuu
Nenda airport ya zamani ( terminal one)

hiyo ATC moto ujipange kichwa kiwe sawa kumbuka ndege ziko hewani wewe ndio unaziongoza hehehe pesa tamu ila shughuri nafikiri wanafanya masaa manne tu hivi ndo uone shughuli ilivyo tamu
Nenda airport ya zamani ( terminal one)
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom