Msaada nahitaji kuanzisha shule ya mapenzi

Msaada nahitaji kuanzisha shule ya mapenzi

Ntapenda kushiriki darasa la kupiga dry tu.
 
Wakuu nina mpango wa kuanzisha shule ya mapenzi hapa tanzania, hii nni baada ya kuona vijana na wazee wengi wanahadhirika katika mapenzi. kozi hii itatolewa kwa muda wa miezi sita. tatizo je italipa? umri muafaka ni upi? msaada tafadhalii....

Ntatoa nafasi za practical training kwa wanafunzi wa kike tu hapa kwangu!

Chagua wale best performers uwalete... huo ndo msaada wangu..
 
Achana na hilo wazo anzisha hospital ya kutibu vitambi, nguvu za jinsia, ngekewa/bahati, tego, pre-mature ejec, fumanizi na kupata pesa za bure utakimbia wateja
Mkuu mwache tukajifunze kupenda... ukiwa huna stress kitambi no
 
Sawa mkuu naomba ujiandae vizuri kula protin za kurosha hapa kazi tu


nimkwisha anza maandalizi maziwa glas moja na tende asubuhi, asali na mdalasin mchana , karanga na supu ya pweza jion daily
 
Isije kuwa we mwenyewe ni mhanga wa mapenzi,utaenda kufundisha watu kukata tamaa...wakat Mapenzi matamu hata uumizwe mara 100
 
Back
Top Bottom