Msaada nahitaji kuanzisha shule ya mapenzi

Msaada nahitaji kuanzisha shule ya mapenzi

mutant gene

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
876
Reaction score
326
Wakuu nina mpango wa kuanzisha shule ya mapenzi hapa Tanzania, hii nni baada ya kuona vijana na wazee wengi wanahadhirika katika mapenzi. Kozi hii itatolewa kwa muda wa miezi sita.

Tatizo je italipa?

Umri muafaka ni upi? msaada tafadhalii.
 
mhh mbona tunapoelekea ni hatari sana!! sasa hao wanafunzi utawafundisha kwa vitendo ama vp?
 
hao walimu wanatokea wap.. au ni malaika!!! maana na wao watakua na matatizo yao ya mapenzi huko... hamna ujuzi wala formula za mapenzi acha tupambane nayo tu!!!

walimu wanatokea hapa Tanzania...
 
Wakuu nina mpango wa kuanzisha shule ya mapenzi hapa tanzania, hii nni baada ya kuona vijana na wazee wengi wanahadhirika katika mapenzi. kozi hii itatolewa kwa muda wa miezi sita. tatizo je italipa? umri muafaka ni upi? msaada tafadhalii....

Achana na hilo wazo anzisha hospital ya kutibu vitambi, nguvu za jinsia, ngekewa/bahati, tego, pre-mature ejec, fumanizi na kupata pesa za bure utakimbia wateja
 
Mxyuuuuuu.m nkajua ushaua mtu kwa kufumania.kumbe shule tu.fungua
 
Back
Top Bottom