Msaada: Nafikiria hata kujidhuru

Msaada: Nafikiria hata kujidhuru

Usimuhukumu mtu kwa kitu usicho na uhakika nacho
Kwaiyo.huyu ambae anatamani KILA mwanamke Hadi watoto kwa mujibu wake...sijui watoto wa umri gani ...Hawa ndo wanabaka vichanga..

Ndo Mara Yake ya kwanza kutaka au kuchakata wanafunzi... Cha muhimu ajifunze kutokana na alichotaka kufanya..

Sijamuhukumu Bali ndio Tabia Yake..sikasema.mwenyewe.
 
Nahisi kwanzia sasa utaweza kujikontroo
Kila la kheri
 
Kuna kitu ummemfanya mtoto na hajakipenda!, Tuache hawa watoto wacheze na watoto wenzao aisee
 
Siku mfanya kitu shahid mungu sema nafaham mi siez sex bila kumshawish mtu na nlikua katika harakat za kumwambia ila nahis alihis Nina nia mbaya
Pole sana. Jitahidi tu kudhibiti hiyo hali maana ni ya mpito. La msingi unatambua kuwa ufanyayo si sahihi. Endelea kuamini hivyo. Sijajua umri wako ila wewe bado kijana mbichi. Ikiwezekana badili mazingira. Nenda mkoa mwingine na huwezi amini kila kitu kitabadilika
 
Asante
Pole sana. Jitahidi tu kudhibiti hiyo hali maana ni ya mpito. La msingi unatambua kuwa ufanyayo si sahihi. Endelea kuamini hivyo. Sijajua umri wako ila wewe bado kijana mbichi. Ikiwezekana badili mazingira. Nenda mkoa mwingine na huwezi amini kila kitu kitabadilika
 
Kwaiyo.huyu ambae anatamani KILA mwanamke Hadi watoto kwa mujibu wake...sijui watoto wa umri gani ...Hawa ndo wanabaka vichanga..

Ndo Mara Yake ya kwanza kutaka au kuchakata wanafunzi... Cha muhimu ajifunze kutokana na alichotaka kufanya..

Sijamuhukumu Bali ndio Tabia Yake..sikasema.mwenyewe.
Kutamani hiyo ni kawaida kwa binadamu naturally ila kwa maelezo ya jamaa ni matamanio yaliyo vuka mipaka mpk kushindwa kujicontrol na mwenyewe anajuta hapo kabisa hapendi hiyo hali.

Hii inaweza kuwa ni psychological disorder, as long as ameshajiweka wazi hapa sisi kama members ndio tumpe ushauri wa kumsaidia kuliko kumgandamiza, pengine angejificha na hiyo hali angeleta madhara kwa jamii inayomzunguka.

Mimi nitoe tu ushari kwa members tusipende kumgandamiza mtu aliye leta matatizo yake kuomba ushauri, hii hupelekea watu wa aina hiyo wenye matatizo kijificha na matatizo yao na baadae kuleta madhara katika jamii.
 
Asante kwa kunielewa

Hahah mzee unaficha nini umekula denti uyoo sema ugwadu wako ina Onesha ume mpelekea moto sana ....

SUBIRI KIDOGO
 
Kutamani hiyo ni kawaida kwa binadamu naturally ila kwa maelezo ya jamaa ni matamanio yaliyo vuka mipaka mpk kushindwa kujicontrol na mwenyewe anajuta hapo kabisa hapendi hiyo hali.

Hii inaweza kuwa ni psychological disorder, as long as ameshajiweka wazi hapa sisi kama members ndio tumpe ushauri wa kumsaidia kuliko kumgandamiza, pengine angejificha na hiyo hali angeleta madhara kwa jamii inayomzunguka.

Mimi nitoe tu ushari kwa members tusipende kumgandamiza mtu aliye leta matatizo yake kuomba ushauri, hii hupelekea watu wa aina hiyo wenye matatizo kijificha na matatizo yao na baadae kuleta madhara katika jamii.
Kwaiyo ulitaka tumsifie..kuwa kafanya vyema...huyu hizi tamaa zake wakubwa wenzake hawaoni......Kujiendekeza tu wangapi wamefungwa kwa kufanya Kama Yake...inamaana hasikii Wala haoni....yamemfika ndo anaanza kutapatapa....
 
Kaka hongera Sana Kwa kujitambua,itabidi utafute,saikologia akusaidie kwani huo ni ugonjwa,unahitaji kutibiwa haraka Sana Kabla hujafanya kitu kibaya zaidi

Hapa kwetu kila anefanya Kosa la kabaka anapelekwa jela moja 30 bila kuchunguzwa nini kilichomfanya afanye hivyo

Kama kweli hujamfanya chochote huyu denti basi ni Bora ujisalimishe Polisi
 
hujasoma vizuri post yangu hivyo umeshindwa kunielewa
 
Kaka hongera Sana Kwa kujitambua,itabidi utafute,saikologia akusaidie kwani huo ni ugonjwa,unahitaji kutibiwa haraka Sana Kabla hujafanya kitu kibaya zaidi

Hapa kwetu kila anefanya Kosa la kabaka anapelekwa jela moja 30 bila kuchunguzwa nini kilichomfanya afanye hivyo

Kama kweli hujamfanya chochote huyu denti basi ni Bora ujisalimishe Polisi
Pole sana. Nakushauri uende mwenyewe poliisi ukajue mbichi mbivu
 
Upo kwenye foolish age mkuu
Hakuna kitu kinaitwa foolish age ni ujinga wake tu labda kama unatafuta justification.

Foolish age ni neno linalohalalisha ujinga, tabia mbobu na mazoea mabovu.

Mtu habadiliki tabia hata afikishe hundred years bali atakosa nguvu ya kuonesha tabia yake au atazificha.
 
Kwa Sasa potea kwa muda

Japo umeharibu we potea kwa muda

Usirudi home Hadi uhakikishe upige kura kwa lissu halafu Rudi endelea na Mambo yako
 
Hakuna kitu kinaitwa foolish age ni ujinga wake tu labda kama unatafuta justification.

Foolish age ni neno linalohalalisha ujinga, tabia mbobu na mazoea mabovu.

Mtu habadiliki tabia hata afikishe hundred years bali atakosa nguvu ya kuonesha tabia yake au atazificha.
Usiseme..mtu hawezi badilisha Tabia...Anaweza akiamua kwa dhati ya moyo wake...hata huyu mleta bandiko akiamua kwa dhati kubadilika anaweza..

Ukiongozwa na tamaa au ukiendekeza nafsi...haya ndo hua matokeo Yake.

SASA HUYU UNAWEZA MUACHIA MWANAO ukaenda Sokoni kweli...?
Huyu asipobadilika ndo wale wababa wanao lala watoto wao wakuwalea... Sababu SIWEZI KUJIZUIA nikiona mwanamke.
 
Back
Top Bottom