Msaada: Nafikiria hata kujidhuru

homeless1

JF-Expert Member
Sep 24, 2020
427
950
Nimemaliza chuo lakini nmekosa kazi hivo naishi kigetogeto

Tatizo nililo nalo nikwamba nazidiwa na mihemko ya kimapenzi sina uwezo wa kuchagua mwanamke; mwanamke yoyote mbele yangu mi namuawanzia mapenzi, awe mtoto au mtu mzima yaan kifupi hata awaje nasema hivi nikiwa na majonzi na tabia ya kishenzi nliyonayo.

Nashindwa kujicontrol hata kidogo, sasa tatizo ni kua leo nimemuita demu mwanafunzi geto kafika ila katika kuongea sijamgusia lolote kuhusu kumpenda wala kumtongoza ila alihis kua mimi ni mtu mmbaya hivyo alinipa sababu niliyo mruhusu aondoke ila akanambia anarudi, hajarudi ilikua mchana saizi usiku kaja na mapolice na Mwenyekiti pamoja na ndugu zake uzuri ni kua wamenikosa ila wameahidi kurudi tena kesho.

Sasa kabla ya hiyo kesho nafikiria hata kujiua kwa aibu itayonikuta naomba ushauri nifanyaje maana nimeambiwa yule mwanafunzi kanizidi hata kuongea.

Naumia hapa, mama ananilaumu ananambia naenda jela miaka 30.

Msaada wa ushauri kabla sijafanya kosa lolote la kijinga na je nitawezaje kuicontrol hii tabia niliyonayo?
 
Mkuu vipi bado upo hai?

Kama bado upo hai fanya kujisalimisha kwa police ongea ukweli tuu. Na kwanini tu huyo binti aje kwako yeye mwenyewe kwa miguu yake then ghafla akushtaki polisi

Kama ni kweli hukufanya kitu basi kuna mchezo unachezewa hapo kuwa makini.

Au pia inawezekana huyo binti alivyo fika kwao ilibanwa akasema alikuwa kwako na wazazi wake waka suspect moja kwa moja unamkula binti yao ndio wakaenda kukushtaki.
 
Back
Top Bottom