Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,506
Jamani wanaJF, kuna rafiki yangu mmoja jana usiku kanieleza jambo nikaona niwaletee humu tujaribu kumsaidia. Huyu bwana ameniambia kuwa amejishangaa jana amekuta katika chupi yake kuna damu na inaonekana imevija toka ndani ya uume wake bila yeye kujua. amesema hali hiyo ilimstua sana na hajui sababu ni nini. Nimemuuliza kama ameshawahi kuugua ugonjwa wa zinaa akasema haijawahi kutokea kupata ugonjwa wowote. Nikamuuliza kama kakutana na msichana hivi karibuni akasema ana
itakua ni HEDHI au EBOLA
Ametoa damu kwenye uume...au mkojo wenye damu? Kama ni damu tu ina maana tatizo lipo kwenye njia ya mkojo chini ya kibofu (urethra), ambapo mara nyingi huwa inasababishwa na kuumia (urethral injury)....kama ni mkojo wenye damu, basi tatizo linaweza kuwa kati kibofu hadi kwenye figo. Inaweza kuwa uvimbe, jiwe, kuumia, kichocho etc.

we hazole vp kwahiyo nawewe ndo umefikiria ukatoa hilo jibu sio issue mkuuakwambie wewe ni daktari?? sema ukweli mwenye tatizo ni wewe bana, alaaah. aendo hospitali akacheki,yaani badala ya kwenda hosp yeye anaanza kujitangaza kwa watu. aache hizo bana