CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
upendo wa kijinga kabisaAnalea ujinga, mtoto hana adabu. Mtoto alilie simu eti aangalie game my foot, simu sio toy ni kifaa cha mawasiliano.
Zake ni toy, wazazi tuache ujinga eti mtoto analilia simu ukimnyang’anya kilio..
Upuuzi mtupu si alie mpaka azimie....
Aiseehalafu akichapwa na mwalimu mnalalamika kweli??
what did you see??Aisee
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.Huyu dogo zamani kipindi ana miaka2 nilikuwa namwekea video za cartoon za kudownload zile ndefu ....kwa sasa ana miaka 3.2 ndugu nilimfundisha kuangalia video YouTube Leo najuta....
Hataki za kudowload anataka kuangalia mwenyewe YouTube tena anachagua anayotaka...
Nadhani unaelewa mchakato wa bando...ukimkataza kilio chake ci mchexo yaniiii...
Naomba ushauri nimfanye nn...
Pesa ngumu siwexi kuweka bajeti ya bando daily kwa ajili yake majukumu mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahaaaNimemkumbuka dogo mmoja niliachiwa nikae nae.
Sa nikampakulia wali then nikaweka nyama mbili coz ni dogo tu.
Dogo akasema "yaani unaweka nyama mbili !! Mi staki"
Nikamuekea mchuzi kati kati ya saani akakataa kula eti ye amezoea mchuzi usambazwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani nilichoka aisee
Mzoeshe kuchezea corodani zako atasahau yutubuHuyu dogo zamani kipindi ana miaka2 nilikuwa namwekea video za cartoon za kudownload zile ndefu ....kwa sasa ana miaka 3.2 ndugu nilimfundisha kuangalia video YouTube Leo najuta....
Hataki za kudowload anataka kuangalia mwenyewe YouTube tena anachagua anayotaka...
Nadhani unaelewa mchakato wa bando...ukimkataza kilio chake ci mchexo yaniiii...
Naomba ushauri nimfanye nn...
Pesa ngumu siwexi kuweka bajeti ya bando daily kwa ajili yake majukumu mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona simple unaweka anakuwa anaangalia low quality hizo videos huwa haili mb dawa awe anatembelea 144pHuyu dogo zamani kipindi ana miaka2 nilikuwa namwekea video za cartoon za kudownload zile ndefu ....kwa sasa ana miaka 3.2 ndugu nilimfundisha kuangalia video YouTube Leo najuta....
Hataki za kudowload anataka kuangalia mwenyewe YouTube tena anachagua anayotaka...
Nadhani unaelewa mchakato wa bando...ukimkataza kilio chake ci mchexo yaniiii...
Naomba ushauri nimfanye nn...
Pesa ngumu siwexi kuweka bajeti ya bando daily kwa ajili yake majukumu mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyambafu sana wewe. Mtoto miaka mitatu anakufikirisha kias cha kuja kuandika humo.Huyu dogo zamani kipindi ana miaka2 nilikuwa namwekea video za cartoon za kudownload zile ndefu ....kwa sasa ana miaka 3.2 ndugu nilimfundisha kuangalia video YouTube Leo najuta....
Hataki za kudowload anataka kuangalia mwenyewe YouTube tena anachagua anayotaka...
Nadhani unaelewa mchakato wa bando...ukimkataza kilio chake ci mchexo yaniiii...
Naomba ushauri nimfanye nn...
Pesa ngumu siwexi kuweka bajeti ya bando daily kwa ajili yake majukumu mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atalia sana mwisho wa siku atanyamaza,au unafikiri akilia sana atafanya nini?,mwache alie baada ya week ataachana na simu yako,SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI
Kila siku nasema wazaz ndiyo chanzo cha kuharibu watotoMtoto umleavyo ndivyo akuavyo si ulitaka chai iweje ulalamike unaungua?
Sent using Jamii Forums mobile app