Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,172
- 15,725
Mtoto amepewa dawa pungufu tofauti na ushauri wa doctor,aliandikiwa kutumia dawa 5ml ila nilipoenda kununua dawa pharmacy wakaandika apewe 2.5ml so wife akawa anampa kulingana na maelezo ya pharmacist's sijui kilichotokea maana nilimpa karatasi yenye maelezo ya doctor.
Sasa leo nimesoma ile karatasi aliyoiandika doctor nakuta imeandikwa 5ml ikimaanisha kwamba alikuwa anapewa dawa pungufu na dose ilikuwa ya siku tatu ambayo imeisha leo ila nimempa ml5 baada ya kugundua hili kosa.
Naomba ushauri nifanyeje wakuu, niendelee kumpa kesho ml5 ili kukamilisha dose au nimuanzishie upya? mtoto alikuwa na pneumonia msaada tafadhali.