Wakuu naishi kota za kupanga hapa Changombe, upande ninaokaa kuna jirani yangu chumba cha jirani ni mama mtu mzima hivi ni mshika dini sana sana.
Cha ajabu juzi nimeamka saa 8 usiku na kutoka nje ghafla nikamkuta mama huyo akiwa juu ya bati uchi wa mnyama huku kashika ngozi ya fisi na kibuyu alikua kajipaka masizi na kavaa hirizi iliyokua inapumua.
Aliponiona akageuka paka na kupotea.Nataka kuhama hapa.