Msaada: Moderm ya air tell inanisumbua

Msaada: Moderm ya air tell inanisumbua

ASIKARI

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
92
Reaction score
22
wakuu nilinunua modern nikiwa DODOMA..inafanya kazi vizuri tu...nikienda dar pia mzigo uko sawa..mwanza pia naitumia vizuri..tatizo nikija kwetu KIJIJINI modern haioneshi zile bars za network, na inaandika NO CONNECTION. ...NA MNARA WA AIR TELL UPO...SASA SIJUI TATIZO NI NINI...NAWAPIGIA SIMU SIPATI MSAAADA WOWOTE.
 
Yawezekana huko kijijini kuna GSM yenyewe mkuu yaani hakuna cha GPRS, EDGE wala 3G nk.
 
Pia inawezekana umeweka network selection WCDMA ONLY hivyo kama hamna 3G/ HSDPA huwezi pata network
 
Back
Top Bottom