Mimi ni mwanamke, nilieolewa tatizo linalonisumbua ni kua mume wangu nashindwa kum-define ni mchafu au anatatizo mana hapendi kabisa kiuoga esp jioni! smtimes hadi namtisha kua simpi uroda mpaka aoge ndo ataenda tena kwa kulalamika sana! pia cku za w'end yy huoga jionii yaani anashinda bila kuoga cku nzima, . na huwa naanda maji mm mwenyewe tena yaliochemshwa(mana anapotaka kuoga hupenda kuoga maji ya vuguvugu) unaweza ukaweka bafuni hadi ukaenda kuyatoa!yy anachotaka ni kuoga mara moja kwa cku!sasa akioga asubuhi anavoenda kzn ndo bac akirudi haogi
nifanyaje?je huo ni ugonjwa au tatizo?
Unataka kuua lolmpake upupu kila siku jioni kwa wiki moja hiyo ni dozi kamili.
Kwani Ameanza Lini Kutokuoga? Wakati Wa Uchumba Alikua Anaoga?
Anaway Jitahidi Kuwa Innovative; Mpe Maji Ya Moto, Muogeshe, Hakikisha Anafanya Mazoezi Jioni Ili Aoge Kilazima,
...........On the third thought............................naruhusiwa kucheka??????????????
............And another thought......I think wazee wetu wa zamani walikuwa na maadili sana........Hii ingekuwa siri ya ndani ya ndoa. Walivumilia mengi duh............................mume/mke kikojozi kitandani, anayekoroma.........ahmhm apa kuna tatizo, ningekuwa wa kule USWAHILINI NINGESEMA KUNA JAMBO APA