Msaada: Mme wangu hapendi kuoga!

Msaada: Mme wangu hapendi kuoga!

jaribu kufanya bathroom more attractive.i mean weka rose flowers,mishumaa ya harufu and dim lights.then uwe unaoga nae siyo unamuacha tuu mwenyewe probably anaogopa!
Jamani Kevo!!
Anaogopa nini???? Lol!!!
 
Wana JF mimi nina tatizo la pua moja kuziba, hasa ya upande wa kushoto. Inakuwa kama vile ina kamasi ila nikijaribu kupenga hakitoki kitu. Kwa kifupi nilifanyiwa upasuaji mwaka 2001 pale Aga Khan Hosp baada ya pua zote kuziba. Baada ya upasuaji nilipoteza kabisa uwezo wa kusikia harufu, matatizo ya pua kuziba yalipungua kwa kiasi kikubwa. Ila kuanzia mwaka 2006 matatizo hayo yamerejea tena, ila sasa hivi ni pua moja tu ndo imeziba. Nilifanikiwa kuonana na mtaalamu wa ENT akaniambia inabidi kufanyiwa upasuaji kwa mara nyingine kwa sababu eti yule Dr wa awali alikosea. Napata wasiwasi na ningependelea zaidi tiba mbadala. Je kuna mwenye taarifa za kunisaidia???
Pole sana.
Ni kweli pua huziba, huwa kuna nyama inayo ota na kuziba ukashindwa kupumua vizuri.
Mtafute Prof. Minja wa ENT - Muhimbili pia huwa anaenda Mikocheni atakufaa sana.
Before the second operation seek a second opinion.
At least i know he is among the best docs.
Wish you a speedy recovery.

Sunshine.
 
Za leo wandungu,

I have just registered my self today and i want to start a topic but i have tried to check how i can do it nimeshindwa kwa kweli. Samahanini maana imenibidi nidandie humu humu.

Penny,
Bila samahani, na karibu jamvini!

Kama bado hujafanikiwa, click hapa.
Halafu fungua "Forums, Threads and Posts" au click hapa.

.
 
Mimi ni mwanamke, nilieolewa tatizo linalonisumbua ni kua mume wangu nashindwa kum-define ni mchafu au anatatizo mana hapendi kabisa kiuoga esp jioni! smtimes hadi namtisha kua simpi uroda mpaka aoge ndo ataenda tena kwa kulalamika sana! pia cku za w'end yy huoga jionii yaani anashinda bila kuoga cku nzima, . na huwa naanda maji mm mwenyewe tena yaliochemshwa(mana anapotaka kuoga hupenda kuoga maji ya vuguvugu) unaweza ukaweka bafuni hadi ukaenda kuyatoa!yy anachotaka ni kuoga mara moja kwa cku!sasa akioga asubuhi anavoenda kzn ndo bac akirudi haogi
nifanyaje?je huo ni ugonjwa au tatizo?

naruhusiwa kucheka??????????????
 
Wana JF mimi nina tatizo la pua moja kuziba, hasa ya upande wa kushoto. Inakuwa kama vile ina kamasi ila nikijaribu kupenga hakitoki kitu. Kwa kifupi nilifanyiwa upasuaji mwaka 2001 pale Aga Khan Hosp baada ya pua zote kuziba. Baada ya upasuaji nilipoteza kabisa uwezo wa kusikia harufu, matatizo ya pua kuziba yalipungua kwa kiasi kikubwa. Ila kuanzia mwaka 2006 matatizo hayo yamerejea tena, ila sasa hivi ni pua moja tu ndo imeziba. Nilifanikiwa kuonana na mtaalamu wa ENT akaniambia inabidi kufanyiwa upasuaji kwa mara nyingine kwa sababu eti yule Dr wa awali alikosea. Napata wasiwasi na ningependelea zaidi tiba mbadala. Je kuna mwenye taarifa za kunisaidia???

Pole sana
Tiba mbadala ni Yesu Kristo tu
 
Na joto la Dar, kuoga mara moja kwa siku haitoshi kabisa hata kama wewe ni bachelor.
 
Pole sana
Tiba mbadala ni Yesu Kristo tu

huh!? 😕
Mambo ya kuoga nayo inabidi tumshirikishe yesu kristo!!!!??? Sasa huku ndiko kutumia dini vibaya.
 
Angalia quote niliyotumia mkuu.... au ndo uvivu wa kusoma???????

Samahani ndiyo haya matatizo ya watu kuweka somo tofauti na lile alilokusudia muanzishaji wa thread. Hiyo Quote sikuisoma, nilidhani bado tuko katika njemba iliyogombana na kuoga.
 
Dah!

Jaribu kuwa innovative na jitahidi ugeuze mawazo yake na kumfanya mara kwa mara awe anajumuika na wewe bafuni. Isiwe kwamba unamwambia akaoge na wewe umsubiri chumbani.

Changamsha akili Bibie

Jamani!! naomba kuuliza:
Mosi,Hivi nyie mnaosema awe innovative nyie ni wanaume au wanawake? kama ni wanaume - hivi kuoga ni kama kumeza klorokwini mpaka mmezee sukari? Usafi ni kitu cha muhimu kwa wote , wanawake na wanaume... sidhani ni jukumu la mke kum entice mumewe aoge.
Pili - kama wanaoshauri hivi ni wanawake - basi mbona pole zenu! Mpaka kuolewa na mume asiyependa kuoga ni kwamba ilibidi kuolewa at any cost na kufikiri atabadilika akishakuoa?? Kama alikuwa anaogo - imekuwaje akatae kuoga alipokuoa?
Tatu, Wanaume hapa JF jamani hebu mtuambie - ukiwa na mke asiyependa kuoga utafanya nini?
 
Inabidi jion hii nikamuulize mamsap kama yeye nae ni memba wa JF maana kama aliyosema Faith yananigusa..LOL
 
kama bafu dogo nunua beseni muogeshe chumbani mama!
...Marvellous!!! kumtengea maji yaliyotiwa Hiriki, bizari na viungo vyote muhimu atakuwa anadai kuoga kwa siku mara 8.
 
Inabidi jion hii nikamuulize mamsap kama yeye nae ni memba wa JF maana kama aliyosema Faith yananigusa..LOL

lol mmekutana ...teh teh..na kwasababu umeshasema utamuuliza kama ni memba wa jf....tegemea jibu la hapana,kwa sababu ameshasoma hapa kuwa utamuuliza...kimsingi tumia hii kama fasihi ..umefikishiwa ujumbe ..awe ni mwana jf au sio ...chukua ushauri utakaoona unafaa wa wadau humu ndani...
 
Mimi ni mwanamke, nilieolewa tatizo linalonisumbua ni kua mume wangu nashindwa kum-define ni mchafu au anatatizo mana hapendi kabisa kiuoga esp jioni! smtimes hadi namtisha kua simpi uroda mpaka aoge ndo ataenda tena kwa kulalamika sana! pia cku za w'end yy huoga jionii yaani anashinda bila kuoga cku nzima, . na huwa naanda maji mm mwenyewe tena yaliochemshwa(mana anapotaka kuoga hupenda kuoga maji ya vuguvugu) unaweza ukaweka bafuni hadi ukaenda kuyatoa!yy anachotaka ni kuoga mara moja kwa cku!sasa akioga asubuhi anavoenda kzn ndo bac akirudi haogi
nifanyaje?je huo ni ugonjwa au tatizo?

Jino kwa jino kama yeye hapendi kuoga na kuwa msafi, jaribu kwa week moja na wewe usioga wala kupiga mswaki, harafu kitandani mkumbatiye na jaribu kuwa unaongea naye uso kwa uso, harufu ya mdomo wako pamoja na shombo la kutooga atakwambia ukaoge na kupiga mswaki, hapo ndo utamweleza ni jinsi gani yeye anakutesa wewe kwa yeye kukwepa maji ya kuoga.
 
.......aarrghhhh, watu mnalalama weeeeee.... si akachume upupu (simaanishi ule aliotumia Chenge Bungeni 🙂 ) tu halafu auweke kwenye ka-bahasha, na kutumia kidogo kidogo kwa kumtega kila siku kwenye kiti anachopenda kukaa. Halafu aongee na dakitari mmoja wapo ili atakapovimba vipele kutokana na kujikwangua daktari amwambie kuwa dawa ni kuoga kila siku mara 4, ili akioga walau mara mbili awe within target!

.......WARNING: usizidishe kipimo. upupu huua!!!
 
Na joto la Dar, kuoga mara moja kwa siku haitoshi kabisa hata kama wewe ni bachelor.

Labda haogi mara 2 kwa vile Sasa hivi Dar sio joto sana. Halafu fikiria mfano mtu anatoka asubuhi na gari full AC, anafika ofisini full Ac anatoka kazini na kuingia garini full AC na mwenyewe asubuhi alitumia 24 hrs lasting deodorant na perfume juu. Akirudi home jioni ananukia wala hana kikwapa. Je, huyu mtu lazima aoge kweli?? Nimetoa tu hii scenario lakini mimi binafsi naoga mara 2 kwa vile nayapenda maji!!!!!
 
.......aarrghhhh, watu mnalalama weeeeee.... si akachume upupu (simaanishi ule aliotumia Chenge Bungeni 🙂 ) tu halafu auweke kwenye ka-bahasha, na kutumia kidogo kidogo kwa kumtega kila siku kwenye kiti anachopenda kukaa. Halafu aongee na dakitari mmoja wapo ili atakapovimba vipele kutokana na kujikwangua daktari amwambie kuwa dawa ni kuoga kila siku mara 4, ili akioga walau mara mbili awe within target!

.......WARNING: usizidishe kipimo. upupu huua!!!

Steve chonde chonde...ushauari gani huu? Yaani niwekewe upupu? Kama JF ni hivi naanza kuigopa....
 
Jamani!! naomba kuuliza:
Mosi,Hivi nyie mnaosema awe innovative nyie ni wanaume au wanawake? kama ni wanaume - hivi kuoga ni kama kumeza klorokwini mpaka mmezee sukari? Usafi ni kitu cha muhimu kwa wote , wanawake na wanaume... sidhani ni jukumu la mke kum entice mumewe aoge.
Pili - kama wanaoshauri hivi ni wanawake - basi mbona pole zenu! Mpaka kuolewa na mume asiyependa kuoga ni kwamba ilibidi kuolewa at any cost na kufikiri atabadilika akishakuoa?? Kama alikuwa anaogo - imekuwaje akatae kuoga alipokuoa?
Tatu, Wanaume hapa JF jamani hebu mtuambie - ukiwa na mke asiyependa kuoga utafanya nini?

... hakyamama kama mke wangu haogi itakuwa balaa maana nyumba itakuwa inanukia vitu fulani halafu hata kule ikulu ya mahaba kutaota ugegedu kiasi kwamba hata kuingia inabidi kujishauri....

Mie nilikuwa mvivu wa kuoga usiku hasa maji ya baridi, alichonifanyia mke wangu kimenisababisha kila ifikapo jioni narud kutoka kazini naulizia nikiwa njiani waniwekee maji ya kuoga ili nikifika jambo la kwanza bath kisha ndo nakaa sebuleni kuendelea na program za usiku. Ila uvivu wa kuoga jioni ilitokana na maji ya baridi kuyaogopa lakini mchana kutwa naweza kuoga hata mara sita.

Mtu ambaye hapendi kuoga huwa sina ushauri mzuri kwake zaidi ya kumpa moyo aendelee na msimamo huohuo...
 
kama bafu dogo nunua beseni muogeshe chumbani mama!

kalld...umesahau kumwambia binti wa watu adress ya hulo kunakouzwa hilo beseni ambalo njemba nzima linaingia na kuogeshwa..
 
Back
Top Bottom