Mme wako ni mchafu sana, ktk kipindi cha utoto wake alikuwa haogi MPAKA ACHAPWE!
Kaazi kweli kweliiiiii!!!!!!!!!Hii ni tabia ya mtu kuto taka kuoga wengi tu mbona tunawaona bora huyo anaoga kwa siku mara moja wengine ni kwa miezi anaoga mara moja napo kwa bahati mbaya.
Duh! utu u-zima bana mh! cjuhi kama.....................!!!!!!!!!!!!!!!sasa u-house awe anaijia bafuni usimnyime, ataoga tu. maana wanawake wengine wanakua turned on wakisikia kaharufu kidogo atawatafuta wa hivyo. Bafuni huko huko ndio yawepo mambo yetu yale, mwambie change of plans, ndio ubunifu wenyewe huo,unamwambia atangulie kabisa umkute na birthday suit, eeh ndio mambo yenyewe hayo kwa shida na raha, till death tears us apart, eeh isiwe till dirty and nasty tears us apart, eeeeeh ndoa bwana, ndoano.
yaani wewe mwenzio mume wake hakogi halaf wewe unacheka? khaaa! hivi lini utakuwa serious?Hahahaha! Pole jamani. Mmh! Au maji yanamuwasha. Dah!
Kama vipi akirudi muwe mnaogeshana.
Nunua lile beseni kubwaaa akigoma kwenda bafuni muwekee maji umuogeshe.
yaani wewe mwenzio mume wake hakogi halaf wewe unacheka? khaaa! hivi lini utakuwa serious?
sasa nimesibitisha kama nimefall inlove na wewe? will u marry me? ukijibu NO, namimi sikogi.kwikwikwikwikwi kwokwokwokwo kwukwukwukwu. Hapo ndio nimecheka.
sasa nimesibitisha kama nimefall inlove na wewe? will u marry me? ukijibu NO, namimi sikogi.
hehehe thats my wife to be. nakuja bana! tuonane lab.i will kloro. Mahari ushuzi wa jogoo. Haya
Kaoge uje uvae pempasi usije ukajihelp kitandani bure.
hehehe thats my wife to be. nakuja bana! tuonane lab.
Maji ya shingo mwenzangu na kikwapa kimmchosha, msamehe bureJamani wifi,ndio nini kumchana live kaka yangu? Alianza hiyo tabia alipoenda boarding school A level,bwenini kwao walikuwa wanaoga siku za wali tu(once a week)la sivyo unaambiwa uhamie bweni la mabint. Pole sana mwaya maana ni mtihani kwa kweli
Mimi ni mwanamke, nilieolewa tatizo linalonisumbua ni kua mume wangu nashindwa kum-define ni mchafu au anatatizo mana hapendi kabisa kiuoga esp jioni! smtimes hadi namtisha kua simpi uroda mpaka aoge ndo ataenda tena kwa kulalamika sana! pia cku za w'end yy huoga jionii yaani anashinda bila kuoga cku nzima, . na huwa naanda maji mm mwenyewe tena yaliochemshwa(mana anapotaka kuoga hupenda kuoga maji ya vuguvugu) unaweza ukaweka bafuni hadi ukaenda kuyatoa!yy anachotaka ni kuoga mara moja kwa cku!sasa akioga asubuhi anavoenda kzn ndo bac akirudi haogi
nifanyaje?je huo ni ugonjwa au tatizo?
Hii ni tabia ya mtu kuto taka kuoga wengi tu mbona tunawaona bora huyo anaoga kwa siku mara moja wengine ni kwa miezi anaoga mara moja napo kwa bahati mbaya.