Msaada: Mme wangu hapendi kuoga!

Faith

Member
Jul 9, 2008
52
11
Mimi ni mwanamke, nilieolewa tatizo linalonisumbua ni kua mume wangu nashindwa kum-define ni mchafu au anatatizo mana hapendi kabisa kiuoga esp jioni! smtimes hadi namtisha kua simpi uroda mpaka aoge ndo ataenda tena kwa kulalamika sana! pia cku za w'end yy huoga jionii yaani anashinda bila kuoga cku nzima, . na huwa naanda maji mm mwenyewe tena yaliochemshwa(mana anapotaka kuoga hupenda kuoga maji ya vuguvugu) unaweza ukaweka bafuni hadi ukaenda kuyatoa!yy anachotaka ni kuoga mara moja kwa cku!sasa akioga asubuhi anavoenda kzn ndo bac akirudi haogi
nifanyaje?je huo ni ugonjwa au tatizo?
 
Kwani Ameanza Lini Kutokuoga? Wakati Wa Uchumba Alikua Anaoga?

Anaway Jitahidi Kuwa Innovative; Mpe Maji Ya Moto, Muogeshe, Hakikisha Anafanya Mazoezi Jioni Ili Aoge Kilazima,
 
jaribu kufanya bathroom more attractive.i mean weka rose flowers,mishumaa ya harufu and dim lights.then uwe unaoga nae siyo unamuacha tuu mwenyewe probably anaogopa!
 
Hii ni tabia ya mtu kuto taka kuoga wengi tu mbona tunawaona bora huyo anaoga kwa siku mara moja wengine ni kwa miezi anaoga mara moja napo kwa bahati mbaya.
 
Hii ni tabia ya mtu kuto taka kuoga wengi tu mbona tunawaona bora huyo anaoga kwa siku mara moja wengine ni kwa miezi anaoga mara moja napo kwa bahati mbaya.

Unasaidia tatizo ama unaliongezea?
 
Dah!

Jaribu kuwa innovative na jitahidi ugeuze mawazo yake na kumfanya mara kwa mara awe anajumuika na wewe bafuni. Isiwe kwamba unamwambia akaoge na wewe umsubiri chumbani.

Changamsha akili Bibie
 
jaribu kufanya bathroom more attractive.i mean weka rose flowers,mishumaa ya harufu and dim lights.then uwe unaoga nae siyo unamuacha tuu mwenyewe probably anaogopa!

ninakaa uswahilini so kwa mabafu haya ya kwetu huku haiwezekani kwanza bafu lenyewe dogo mtu mmoja tu hatoshi fresh!
 
ninakaa uswahilini so kwa mabafu haya ya kwetu huku haiwezekani kwanza bafu lenyewe dogo mtu mmoja tu hatoshi fresh!

Basi,simshangai mumewe.labda akienda kuoga anachunguliwa ama kunalinalo mkera kuhusu hilo bafu.Usimlaumu.
 
sasa u-house awe anaijia bafuni usimnyime, ataoga tu. maana wanawake wengine wanakua turned on wakisikia kaharufu kidogo atawatafuta wa hivyo. Bafuni huko huko ndio yawepo mambo yetu yale, mwambie change of plans, ndio ubunifu wenyewe huo,unamwambia atangulie kabisa umkute na birthday suit, eeh ndio mambo yenyewe hayo kwa shida na raha, till death tears us apart, eeh isiwe till dirty and nasty tears us apart, eeeeeh ndoa bwana, ndoano.
 
Unasaidia tatizo ama unaliongezea?

Kama ujuavyo swala la kuoga ni swala la mhimu kwa afya yako lakini si la LAZIMA naweza kusema kuoga si lazima ila ni mhimu.Kwake yeye hili jambo si lazima ndo maana anaona fair akioga mara moja inatosha labda ana alleji na maji huwezi jua.
 
Faith,
Kukusaidia hebu liangalie vizuri hilo bafu yawezekana mumeo anakerwa sana na hali ya hilo bafu na ndio maana amechagua kuoga jioni na sio mchana ili aidha asikumbane na hizo kero au asionekane katoka kuoga!

Kingine ni kwamba kama mwanamke unamjua vizuri mumeo nina uhakika utakuwa unajua jinsi ya kumshawishi kwenda kuoga kuliko kumtishia kumnyima unyumba maana ukimfanyia hivyo mara nyingi sitoshangaa ukipewa habari kwamba anamchukua yule demu jirani yenu na ndo huko anakooga bila hata ubishi...la muhimu hapa jaribu kuwa muelewa!!

Naomba pia ujue mambo kama haya yanahitaji kwanza uyatafutie suluhu mwenyewe kabla hujaanza kumexpose mumeo au masuala yenu ya ndani kwa watu kama sisi, maana wakati mwingine unaweza kupewa ushauri wa kukatisha tamaa/ kubomoa kuliko kujenga!

Sio vibaya pia ukaweka utani ili kunogesha maisha yenu...

Furahia ndoa yako ungali kijana binti Faith!
 
Sometimes wake wana-act kama MOTHER badala ya wife. I hope he doesn't feel mothered. I wouldn't want my wife to watch over me the way my mother did when I was growing up.
Akioga kila siku mara moja tu, jioni, utaridhika?

Watu wengine wananuka kikwapa au miguu. Katika hali hii nitaelewa kwa nini ungetaka aoge mara mbili kwa siku.
Wanaume wanakera sometime, kufua chupi na sox kwao ni issue kubwa.
.
 
Wana JF mimi nina tatizo la pua moja kuziba, hasa ya upande wa kushoto. Inakuwa kama vile ina kamasi ila nikijaribu kupenga hakitoki kitu. Kwa kifupi nilifanyiwa upasuaji mwaka 2001 pale Aga Khan Hosp baada ya pua zote kuziba. Baada ya upasuaji nilipoteza kabisa uwezo wa kusikia harufu, matatizo ya pua kuziba yalipungua kwa kiasi kikubwa. Ila kuanzia mwaka 2006 matatizo hayo yamerejea tena, ila sasa hivi ni pua moja tu ndo imeziba. Nilifanikiwa kuonana na mtaalamu wa ENT akaniambia inabidi kufanyiwa upasuaji kwa mara nyingine kwa sababu eti yule Dr wa awali alikosea. Napata wasiwasi na ningependelea zaidi tiba mbadala. Je kuna mwenye taarifa za kunisaidia???
 
au uwe unamwekea asmin, iliki kwenye maji some tymes utundu unaweza kukuokoa bibie...we kalaga baho tu, atakuja kukutana na guberi lililokubuhu kuwalea waume za watu utamkosa kabisa huyo.
mtie kamba sasa kabla hakujachwa....hizo ni salam zangu kwako
 
lakini kwanza tuhakikishie ni mume wako kweli?
au anaona uvivu kuoga kwako coz anajua atakwenda kuoga kwake?
 
Za leo wandungu,

I have just registered my self today and i want to start a topic but i have tried to check how i can do it nimeshindwa kwa kweli. Samahanini maana imenibidi nidandie humu humu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom