Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

Pole sana aisee huwa nawasikitikia wanawake wenzangu wasiotaka kujishughulisha.Niunganishe nae nimpe darasa.Mie namshukuru Mungu alinipa hekima ya kujitambua na kufanya kazi zangu kwa bidii.Namshukuru Mungu kwa hilo Hata sasa Mme wangu katangulia mbele ya haki lakini Familia haijateteleka.Maana nilishazoea kujitafutia pesa yangu wenyewe.

Yaani akina mama jamani jamani fanyeni kazi siku mwenzio akitangulia mbele ya haki utalia adi uchanganyikiwe maana umezoea vya buree.
nani kasema lazima mwanaume ndo anaanza kufa?
what if nikianza mimi yeye awe ameshazoea kuhudumia familia mwenyewe!
well nimeweka utani lakini namanisha hebu tuondoe hii dhana ya mume kufa kwanza!
and kwanini tunaamini a godd wife ni yule anayeweza kushiriki kutafuta hela?
wengine wameumbwa hvyo jamani!
yapo mengine she must be very good in!na mume hajacomplain jamani!cha!
 
mkuu acha masimango....? huyo ni mkeo..!! unawajibika kutunza siri za mwenzio. kwani ulilzimishwa kumuoa,kipi kilichokuvutia kwakwe.......?(KIPO HAKIPO) MNAPENDA WAVAA SURUALI kwa hiyo usilalamike sana tunashauliwa kuchunguzana hadi ukijiridhisha ama yeye akiridhika ndio mfikie huko kuishi pamoja kinyume chake ndio ndo haya unayokuja nayo hapa , HUWEZI PATA LA KUKUSAIDIA HAPA ANA WAZAZI WAKE KAENI PAMOJA NAO ILI UMSAIDIE MWENZIO.
Habari,
Mimi nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa na tuna watoto wa 2. Nlimuoa mwanamke aliyekuwa kamaliza degree ambaye alikuwa home tu at the time anatafuta ajira. Toka nimuoe hajawahi kufanya kazi yoyote ile yaani Goalkeeper mpaka leo na kutafuta kazi alisha acha. Mpaka leo hii mke wangu hajabadilika. Namlipa mshahara mwisho wa mwezi ambao ni sawa na kama 10k per day yaani (300k). Kila ninapojaribu kumtafutia kazi anafanya kidogo tu anaacha. Huwezi amini hata umlazimishe vipi ajishughulishe mzito ile mbaya. Mi ni mfanyabiashara(Magari Makubwa) nimemuanzishia vimiradi through the years vyote kala mtaji. Kuna kipindi alijaribu kusoma masters ya bussiness administration nkamlipia ada, nunua vitabu vyote alafu yeye akaamua kuacha baada ya mwezi tu Eti kuamka alfajiri hawezi. Nkaja nkamuomba basi asome chuo ambacho atakuwa anaingia mchana nacho alishindwa.

Tatizo rafiki yake mkubwa ni mama yangu mzazi hivo kuna kipindi nlikata mshahara wake ili kumlazimisha afanye kazi akakimbilia kulia manyanyaso nikalazimishwa hela yake isiguswe na wazazi wangu. Nkienda kazini namuacha nyumbani na home kwenyewe hafanyi chochote anaita tu housegirl. Yaani yupo yupo tu siku hadi siku. Nifanyaje ili hata nikianguka leo au kesho awe ni mama atakayeweza kusomesha watoto.

Alafu matumizi yake ya hela mabaya yaani hela yake mwenyewe ukimpa mwanzo wa mwezi kwenye tarehe 1 hiv basi ikifika tarehe 8 ujue alikuwa anaumwa. Ila ni hela yake na hainunui hata nguo ya mtoto hivyo hainihusu. Nifanyaje ajishughulishe?
 
Id yako inasadifu vya kutosha ulio yaandika... Sizani kama mwanaume mwenye misimamo thabiti na uzoefu na mkewe kwa muda wote uo, anaweza kuja lalamika juu ya jambo dogo kama hilo... Msimamo wa mwanaume na hamu ya kufanya maamuzi magumu ni funzo tosha kwa mwanamke yeyote yule hapa duniani.

Kwa upeo wako hili jambo ni dogo? Uthabiti ni upi kwa mtu mvivu asiypenda kazi. Ebu mshauri acha kumulaumu.
 
Mkuu una akili sana,mke mwenza ndo dawa yake! Afu na hii mijike ya kuokota mitaani eti kasoma pumbafu sana! Mwaka wa kuoa naenda kwetu naongea na bibi nipate mwanamke mchapakazi,na adabu juu! Asa kama kazi hataki kwanini alisoma? Ningekuwa mie ligi tu hata mama asemeje simsikilizi maana huo ni ujinga

Sasa subiri huyo utakae mpata kwa bibi utaipata joto ya jiwe,
 
Pole kwa yanayokusibu waweza kuta yu had a right choice ila ume mould vibaya,huwez kwa 7 good years wampa pesa zisizo na matumizi yanayoeleweka yan hapo umemspoil sana
cha msingi usimpe hiyo salary kila mwisho wa mwez n cut down the money yur offering to her ajifunze kwa maisha haya ya sasa huo ni uupuz
 
Pole sana bro hali hiyo ni serious sana kwani leo upo kesho jee itakuaje??
Inaelekea umejitahidi sana ila mama yako anachangia katika upuuzi huu.
Mimi ninadhani kutibu ugonjwa huu inabidi uwe na roho ngumu sana cha kwanza cha kufanya mwambie mama yako unachotaka kufanya na kumuomba asiingilie kwenye hili. Anza kwa kupunguza budget ya nyumbani by 15% [mwambie biashara haiendi vizuri] kama pesa zikiisha kabla ya wakati kula jiwe na kama mambo yanakuwa magumu peleka watoto boarding. baada ya muda punguza tena by 10% na ikifika hapa mwambie itabidi naye afanye kazi na ikibidi mwajiri wewe mwenyewe na umtreat kama employee aone uchungu wa kutafuta hela na ubaya wa matumizi ya hovyo kama unaona anabadilika kaa naye umuulize anataka kufanya kitu gani cha kuingiza hela na umueleze kuwa this time akishindwa basi budget ya nyumbani itabidi iendelee kubana.
 
aisee, kwa jinsi ulivyomwandika , ni dhahili umemchoka sana mkeo, kwa mke uliyemchagua nadhani ume-overdo kwani kwa mujibu wa mafundisho yangu juu ya ndoa na upendo, kuwa upendo hauangalii makosa......
 
nani kasema lazima mwanaume ndo anaanza kufa?
what if nikianza mimi yeye awe ameshazoea kuhudumia familia mwenyewe!
well nimeweka utani lakini namanisha hebu tuondoe hii dhana ya mume kufa kwanza!
and kwanini tunaamini a godd wife ni yule anayeweza kushiriki kutafuta hela?
wengine wameumbwa hvyo jamani!
yapo mengine she must be very good in!na mume hajacomplain jamani!cha!

Hatujui nani atatangulia mbele za haki kweli lakini what if huyo mume akatangulia though hatuombei, itaimuduje hiyo familia wakati ye amejibweteka tu, hata kazi za nyumbani hafanyi kama ni housegirl tu kama mleta uzi alivyosema. Ok labda hapendi kuajiriwa basi wakashirikiane na mume kwenye biashara ili kumaximize profit. Vitabu vya Mungu vinatusisitiza kufanya kazi na asiyefanya kazi na asile.
 
chonde chonde bandugu..unamlazimisha mkeo kufanya jambo ambalo litakufanya uache kusafiri uwe unakesha ndani unalia. Huku maofisini unakong'ang'ania kumleta ni Jehanam yenye sura ya paradiso mambo wanayofanyiwa huku hao wake zetu ni ushetani ambao hata shetani anaukimbia..yaani huku mabosi kula kabaang za wake za watu alafu ukizingatia mameneja wengi walivyoumia na H.I.V. Ndo nazidi kupagawa usiombe uwakute wanahadithiana jinsi wanavyowagegeda yaani ni msiba. Kwa macho yangu nimewahi kukuta watu wanagegedana chooni tena zaidi ya mara moja tena wengine ni wamama ambao nilikuwa nawaheshimu sana kwa kifupi ni vigumu kutofautisha na Madanguro. Ndio maana sishangai kuona takwimu kuwa ndoa nyingi zimeathirika...Take that Siriaz
 
daaaaaaahhhh pole sana mkuu Allah's Slave hilo jambo ni zito mfano hakuna,ninachoweza kusema ni kuwa nahisi ulikosea tokea mwanzo kwa kuruhusu mkeo awe mama wa nyumbani tu na awe na matumizi mabaya,na hiyo ni kutokana na kuamini kuwa labda ndio kumuonyesha mapenzi ya dhati hasa wakati ule wa mwanzo wa ndoa(hapo ndo uliharibu mkuu kwani wanasemaga mfumo wako wa ndoa ni ule utakaoanza nao tangu mwanzo wa ndoa yenu si rahisi kuja kuubadilisha baadaye,na wengi tunakosea kwani mwanzoni mwa ndoa tunaishi kufuata yale mapenzi motomoto bila kujali hali halisi ya maisha)

kwa kuwa ulishayamwaga maji mkuu na kuyazoa huwezi fanya haya, endelea kufanya kazi kwa bidii huku ukihakikisha unawawekea watoto wako akiba ya kutosha kwenye benki inayoaminika huku ukiwalea katika njia itakayowafanya wawe na akili ya maisha na kuondoa uvivu wa kujibidiisha kwa kujua baba ana hela,na unapowawekea pesa hakikisha hawajui kuwa wana akiba fulani benki kwani kwa kujua hilo kutawafanya wao pia wawe wavivu kwa kujua tuna hela benki hata tusiposoma,kuhusu mkeo mwache kama alivyo kwani kwa bidii zote ulizozifanya ni dhahir kwa huyo ni sikio la kua ambalo halisikii dawa na kwa hapo huna njia nyingine zaidi ya kumuacha kama alivo.(ila usimwite mkeo golikipa banah unakosea amekupa watoto wazuri).
 
Last edited by a moderator:
Usije ukawa umemuoa rafiki yangu jamani. Manake jana nimempigia kumbembeleza afanye kazi anadai hawezi kwa sababu anaumwaga. Ulishawahi mzabua kibao akaumwa kichwa?
She was very intelligent tukiwa shule. Nasikitika kuwa hafanyi kazi, na sielewi kabisa. Hiyo benzi uliyompa ndo inamtia wazimu sijui?

Pole bwana, mi sijui nikushauri vipi!
 
akiamka tu asubuhi ana laki 2 za sokoni? ofsini kulivo na maudhi!
 
AMA KWELI LEO NIMEAMINI,ULE USEMI USEMAO, 'UPELE HUMPATA ASIYE NA KUCHA'
..nitarudi baadae kwa mchango, saizi naona kichwa kinaniuma tu!!
 
Habari,
Mimi nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa na tuna watoto wa 2. Nlimuoa mwanamke aliyekuwa kamaliza degree ambaye alikuwa home tu at the time anatafuta ajira. Toka nimuoe hajawahi kufanya kazi yoyote ile yaani Goalkeeper mpaka leo na kutafuta kazi alisha acha. Mpaka leo hii mke wangu hajabadilika. Namlipa mshahara mwisho wa mwezi ambao ni sawa na kama 10k per day yaani (300k). Kila ninapojaribu kumtafutia kazi anafanya kidogo tu anaacha. Huwezi amini hata umlazimishe vipi ajishughulishe mzito ile mbaya. Mi ni mfanyabiashara(Magari Makubwa) nimemuanzishia vimiradi through the years vyote kala mtaji. Kuna kipindi alijaribu kusoma masters ya bussiness administration nkamlipia ada, nunua vitabu vyote alafu yeye akaamua kuacha baada ya mwezi tu Eti kuamka alfajiri hawezi. Nkaja nkamuomba basi asome chuo ambacho atakuwa anaingia mchana nacho alishindwa.

Tatizo rafiki yake mkubwa ni mama yangu mzazi hivo kuna kipindi nlikata mshahara wake ili kumlazimisha afanye kazi akakimbilia kulia manyanyaso nikalazimishwa hela yake isiguswe na wazazi wangu. Nkienda kazini namuacha nyumbani na home kwenyewe hafanyi chochote anaita tu housegirl. Yaani yupo yupo tu siku hadi siku. Nifanyaje ili hata nikianguka leo au kesho awe ni mama atakayeweza kusomesha watoto.

Alafu matumizi yake ya hela mabaya yaani hela yake mwenyewe ukimpa mwanzo wa mwezi kwenye tarehe 1 hiv basi ikifika tarehe 8 ujue alikuwa anaumwa. Ila ni hela yake na hainunui hata nguo ya mtoto hivyo hainihusu. Nifanyaje ajishughulishe?

Seriously..yalinikuta haya (uliyohadithia yamefanana sana). Unfortunately kwangu yaliongezeka na mengine nikashindwa vumilia nikabwaga manyanga. Surprisingly, now ameajiriwa anafanya kazi na anachakarika na biashara kuongeza kipato. Lakini maji ndio yameshamwagika tena. pole sana..I know how frustrating can this be.
 
anahitaji maombi huyo anapepo la uvivu roho inayotaka kuwarudisha nyuma kimaendeleo mpeleke kwenye maombi pia usimuendekeze inaonyesha ulimdekeza hlf ukamuonyesha kwamwaba yani yeye ndo mwisho ndo maana amebweteka tu
 
daaaaaaahhhh pole sana mkuu Allah's Slave hilo jambo ni zito mfano hakuna,ninachoweza kusema ni kuwa nahisi ulikosea tokea mwanzo kwa kuruhusu mkeo awe mama wa nyumbani tu na awe na matumizi mabaya,na hiyo ni kutokana na kuamini kuwa labda ndio kumuonyesha mapenzi ya dhati hasa wakati ule wa mwanzo wa ndoa(hapo ndo uliharibu mkuu kwani wanasemaga mfumo wako wa ndoa ni ule utakaoanza nao tangu mwanzo wa ndoa yenu si rahisi kuja kuubadilisha baadaye,na wengi tunakosea kwani mwanzoni mwa ndoa tunaishi kufuata yale mapenzi motomoto bila kujali hali halisi ya maisha)

kwa kuwa ulishayamwaga maji mkuu na kuyazoa huwezi fanya haya, endelea kufanya kazi kwa bidii huku ukihakikisha unawawekea watoto wako akiba ya kutosha kwenye benki inayoaminika huku ukiwalea katika njia itakayowafanya wawe na akili ya maisha na kuondoa uvivu wa kujibidiisha kwa kujua baba ana hela,na unapowawekea pesa hakikisha hawajui kuwa wana akiba fulani benki kwani kwa kujua hilo kutawafanya wao pia wawe wavivu kwa kujua tuna hela benki hata tusiposoma,kuhusu mkeo mwache kama alivyo kwani kwa bidii zote ulizozifanya ni dhahir kwa huyo ni sikio la kua ambalo halisikii dawa na kwa hapo huna njia nyingine zaidi ya kumuacha kama alivo.(ila usimwite mkeo golikipa banah unakosea amekupa watoto wazuri).

Like kike like....
Good comment/points
..u made my day mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom