Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

huyo mwanamke kilaza na anatuabisha wadada jamani hebu tafuta mtu aongee naye au hata wew kwa undani zaid inawezekana ukilaza wake unasababu na mshahara unamlipa wa ni. wakat huyo ni mkeo jukumu lake kukusaidia co kukaa ka ----- mwanamke mvivu hafai
 
hayuko serious na maisha huyo.
leo na kesho .. ukiwa haupo (hatuombei) au ukiugua familia itamshinda. kaaa.. uvivu gani huo.

kwa hiyo mkuu wewe wamnulilia kila kitu hadi chu.i ? na ana makaratasi kabatini??
 
Do your role as a MAN,Mungu alipomuumba mwanadamu,mwanadamu alipoasi aliyeulizwa ni adam(mwanaume),.timiza wajibu wako kama mwanaume.fanya kazi kwa bidii.,ila mchunguze ni wapi pesa anapeleka asije kuwa ana serengeti,ukibaini ni mzizi,lamba talaka mara moja.lazima ujue mapato na matumizi yake,kama unampa hela alafu uoni anachofanyia utakuwa unachezewa mchezo mchafu. Mchunguze kama inakuwa ngumu mnunulie smart phone lyk galaxy yenye GPS alafu nenda kwa wataalamu wa IT,kuna software maalamu wata install kwako utaweza kujua nyendo zake zote.
 
Ila mkuu nikuulize............kipindi cha uchumba alikuwa anajituma nn??

Kama vle haiingii akilini kuja kulalamika hapa now after 7 years, na unaifanya ionekane jambo kubwa usiloweza livumilia yl onekanavyo since mlipoanza you never noticed ama deceived by mengine??
 
Back
Top Bottom