The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,540
Dah,hela unazompa zinamzingua anaona hakuna haja ya kujishughulisha kwa kweli sie wanawake muda mwingine majanga tu jaribi kumkalisha chini umweleze unavyokereka na tabia yake kwa kweli mi mtu mvivu namchukia kupita kiasi na nyie muwe mnachunguza kwanza uzuri wa mwanamke ni tabia siyo sura kuna mapungufu ya kuweza vumilia lakini siyo uvivu hata Mungu hapendi