bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,849
Labda hakuna mzunguko wa hewa hapo chooni. Je umeweka extractor fan na ile pipe ya kutolea hewa chafu kwa nje? Inasaidia kuingiza hewa safi kwa haraka zaidi.Tutajuaje maana akimaliza haja si anatakiwa asafishe choo vizuri na sabin na kuflash
Au choo chão kibovu