Msaada: Mke wangu anajisaidia choo chenye harufu kali

Msaada: Mke wangu anajisaidia choo chenye harufu kali

Malafyale

Platinum Member
Joined
Aug 11, 2008
Posts
13,912
Reaction score
11,323
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza wazi kabisa. Nilienda kuoa mke wangu kijijini kwetu Kafyofyo Kyela kisha tukaja hapa mjini Dar ninapoishi.

Awali sikuwahi kuishi na mke wangu nyumba moja hadi alipokuja hapa kwangu Dar na ndipo nilipo gundua mengi sana.

Mke wangu akienda msalani kujisaidia haja kubwa hata aki flash bado harufu ile kali haiondoki kwa masaa. Nikajua akikaa hapa Dar akizoea aina hizi za vyakula hali ile itaondoka, lakini ndio inazidi na tumetumia dawa nyingi za tumbo lakini hamna unafuu.

Ombi langu. Je, kuna yeyote hapa ni mtaalam wa afya ya binadamu anaweza tusaidia au kutushauri tufanye nini au twende wapi?

Natanguliza sana shukran zenu na nasubiri msaada wenu

Asante.
 
I heard this story Sina hakika kama ilikuwa kweli au la na ni muda kdg, Kulikuwa na mtu akienda chooni kujisaidia ni kunanuka gari ya taka inasuburi paleee 👉 at the end alikuja kugundulika na Kansa ya utumbo.

Mtoa mada sijui mnuko wako ni WA level zipi onana kwanza na nutritionist
 
Mke wa huyu jamaa lazima siku za usoni aje kucomment humu Kataa ndoa, ndoa ni utapeli 😂😂

Natania jamani.

Jamaa anahitaji msaada, msaidieni maana mimi pia nimewahi msikia rafiki yangu akimlalamikia rafiki yetu mwingine juu ya same same issue.
 
Back
Top Bottom