Msaada: Mke wangu amekuwa chizi baada ya kutumia PEP

Msaada: Mke wangu amekuwa chizi baada ya kutumia PEP

Mkuu.

Tuheshimiane katika kutoa mawazo, simply nimesema hii case naijua na zimetokea nyingi.

Iko hivi, sio kila mtu akienda kwenye maombi anaombewa mapepo wengine wanaombewa Rehema na Neema. Baada ya kuomba Rehema kwa Mungu basi Ushauri kwa huyu mtu inakua rahisi.

Wa kristu tunaamini kuwa Giza havichangamani na Nuru, hivyo basi, kama tunataka asaidiwe tunaomba Rehema na Neema kisha ushauri unafuata.

Natamani niseme zaidi lakini kwa uchache ni hayo.
Kwa hiyo mtoa mada mkewe ana shida gani

Nuru au giza ?!
 
Hata sio la hovyo mkuu,, nadhani alimaanisha kuwa hakuwahi kujipriki hapo kabla akatumia PEP so hii ni mara yake ya kwanza maana kutokana na kazi yake ni rahisi Sana kujipriki mara nyingi na kutumia PEP zaidi ya mara moja
Swali lako la ovyo sana.
 
Acha atibiwe kwanza mkuu
Yes nakubali tiba ni muhimu sana asiache tiba, na kwenye maombi tunashauri mtu asiache tiba sababu tiba ni kitu kinaonekana lakini maombi ni Imani sasa mtu anaweza kuwa na Imani haba lakini Imani ya waombezi ikamponya, pia, ile yeye mgonjwa kuona huduma ya madktari itamsaidia kukuza imani yake katika uponyaji.

Ikimpendeza mtoa mada.
 
Pole kaka endelea kumhandle naamini kama ni hizo dawa atatulia tu
 
Yes nakubali tiba ni muhimu sana asiache tiba, na kwenye maombi tunashauri mtu asiache tiba sababu tiba ni kitu kinaonekana lakini maombi ni Imani sasa mtu anaweza kuwa na Imani haba lakini Imani ya waombezi ikamponya, pia, ile yeye mgonjwa kuona huduma ya madktari itamsaidia kukuza imani yake katika uponyaji.

Ikimpendeza mtoa mada.
Ngoja atibiwe ndo aende kwenye maombi

Au atibiwe akiwa kwenye maombi

Sio aache matibabu aende kwenye maombi
 
Tunamtakia uponyanyiji mwema kwa Mungu,lakini na wewe umekazia kweli kweli.Unauliza huwa wanafanya nini huko ndani gizani?Unauliza makofi Polisi?Nami nakazia,akili zako ziko sawasawa kweli we Mkuu?.Hahahahaha!!!
Pole sana. PEP inafanyakazi. Hatapata virusi akiitumia vizuri. Hapo kwenye mamb ya ndani naona umekazia sana. Kwa huko ndani huwa mnafanya nini? Epuka kufanya mambo yasiyo ya kawaida uwapo ndani...
 
Kama ni ya kawaida tu ambayo kila mtu anafanya ili kupata watoto, mtu hawezi kuona aibu. Kutakuwa na kitu extra hapo.
Tunamtakia uponyanyiji mwema kwa Mungu,lakini na wewe umekazia kweli kweli.Unauliza huwa wanafanya nini huko ndani gizani?Unauliza makofi Polisi?Nami nakazia,akili zako ziko sawasawa kweli we Mkuu?.Hahahahaha!!!
 
Habari za asubuhi ndugu zanguni? leo siku ya pili sijalala ni purukushani mtindo mmoja.
Hipo hivi wife ni muhudumu wa afya sasa juzi kwa bahati mbaya akaji choma na sindano ya mtu alipata maambukizo ya virusi vya HIV.Ikabidi apewe dawa PEP kuzuia maambukiza kwake, alianza jioni kutumia hizi dawa' baada ya masaa 4 balaa likaanza nikapigiwa simu kuwa wife ameweuka anakimbia ovyo barabarani anaropoka kila kitu hadi siri zetu za ndani..ikabidi wamkamate wampeleke hospital wakamchoma valium , nilivyotoka job nikapitia hospital moja kwa moja mpka kwa daktari nimeongea bna daktari amesema hiyo ni kawaida kwa ARV hizo ni side effects zake akiamka atakuwa yupo poa.Baadae akaamka yaani ndio balaa likapamba moto fujo, matusi anaropoka vya ndani hadi aibu.
leo siku ya pili bado hali yake ipo hivyo hivyo hakuna mabadiliko yoyote...kibaya zaidi ana mtoto wa miezi 5
NB:kwao hakuna history ya magonjwa ya akili.
Naombeni msaada kwa ili maana nimechanganyikiwa hapa
@skyeclat Deception Suriya na wengineo
Unaishi wapi ndugu? Mlete kwenye maombi pia huwezi jua nini kimemkuta. Maana hiyo sio kawaida
 
Mbona watu wengi wenye psychological effects ni demon possesed kwa taarufa yako. Matapeli wapo ila pia watoa huduma wa kweli wapo acha kugenerelize mambo. Mungu hajawahi shindwa na jambo lolote ambalo mwanadamu amelishindwa.
huu ni ujinga,badala ya kushauri walau atafutiwe psychologist unashauri apelekwe kwa matapeli wenzio,umeona hayo ni mapepo au ni psychological case??acha uzwazwa,
 
.ikabidi wamkamate wampeleke hospital wakamchoma valium , nilivyotoka job nikapitia hospital moja kwa moja mpka kwa daktari nimeongea bna daktari amesema hiyo ni kawaida kwa ARV hizo ni side effects zake
Naombeni msaada kwa ili maana nimechanganyikiwa hapa
@skyeclat Deception Suriya na wengineo

Pole sana kwa yaliyokusibu.
Hayo yawezekana ni kwa sababu ya mshtuko wa kuona kwamba amejichoma na sindano iliyokuwa imetumika kwa mtu mwenye VVU. Akipata washahuri atarejea kwenye hali yake ya kawaida. Hivyo mpeleke kwa washauri.

1: Kutokana na maelezo yako, nimesikitika, kwani ulipo pata taarifa inaelekea ukwenda hospitali muda huo, bali ulisubiri mpaka muda wa kazi kwisha ndo ulienda kumwona. Kwangu Mimi nikisikia jambo kama hilo, nisingeweza tena fanya kazi - Akili zisinge kamata kabisa, ngeomba ruhusa na kuondoka mara.

2: Kama ana mtoto mchanga, inabidi mtoto apewe ulinzi maana anaweza mdhuru.

3: Umesema umechanganyikiwa, inabidi pia na wewe upate mshauri wa kukushauri maana unaweza chukua maamuzi ambayo siyo sahihi.

4: Waweza pia mpeleka kwenye maombi, maana kuna mambo mengine ni nguvu za giza ambazo madaktari hawataweza kumsaidia hisipokuwa watumishi wa kweli wa Mungu
 
Back
Top Bottom