Msaada:Mkataba wangu haunyoeshi utaratibu wa Employee ku terminate contract

NDESSA

JF-Expert Member
May 2, 2013
1,946
1,795
Wakuu Mkataba wangu unaonyesha namna Employer anavyoweza kuvunja mkataba kwa kumpa employee notice lakini hauonyeshi namna employee atavunja. Jenitumie njia ipi sahihi ku resign?
Asanteni
 
Hapo heading ni Contract sio Cintract modes nisaidie kurekebisha.
 
Mkuu wakatiunasiaini ulikua na wenge la mshahara ukasahau kusoma vizuri kabla hujasaini??

Kama ushasaini imekula kwako ngoja mpaka muda wa mkataba uishe!
 
Sio kwamba haiwezekani ku resign nataka uzoefu ktk hili sheria zikoje, najua kuna utaratibu uliowekwa kisheria hata kama kwenye contract ila ipo sheria mama Labor Law.
 
Mkataba una terms and condition and whoever(promisee or promiser) who fail to comply these terms and condition have to pay compasation on the second party.
Ili mkataba uitwe mkataba unahitaji vitu saba kisheria.Ndani ya vitu saba hivyo ndimo kuna suala unalolisema hususani ktk kipengele cha Consideration.
Nionavyo huo siyo mkataba bali ni makubaliano tu.
Kumbuka kuwa si kila makubaliano ni mkataba mpaka pale yanapokidhi vigezo vya kisheria ktk mkataba.
Waone wanasheria au google law of contract.
 
Pale ambapo express terms za mkataba zinaacha lacuna yoyote, then sheri ya mkataba The Law of Contract Act hutumika
 
Mkataba una terms and condition and whoever(promisee or promiser) who fail to comply these terms and condition have to pay compasation on the second party.
Ili mkataba uitwe mkataba unahitaji vitu saba kisheria.Ndani ya vitu saba hivyo ndimo kuna suala unalolisema hususani ktk kipengele cha Consideration.
Nionavyo huo siyo mkataba bali ni makubaliano tu.
Kumbuka kuwa si kila makubaliano ni mkataba mpaka pale yanapokidhi vigezo vya kisheria ktk mkataba.
Waone wanasheria au google law of contract.
Law of contract inaelekeza namna ya ku-vunja mkataba!?
 
Kumbuka pia mkataba unaweza kuvunjwa kwa njia zifuatazo.
1.Kama wote waawili mtakaa pamoja mkakubaliana kusitisha mkataba.
2.Ikiwa mmoja kati yenu atashindwa kufullfill vigezo na masharti yaliyo ktk mkataba yaani akawa ana perform under quality.
2.Ikiwa mmoja ataamua kuvunja mwenyewe kwa sababu zake mwenyewe mf.kupata kazi nyingine nzuri kuliko ile.
Anayevunja mkataba lazima alipe fidia kwa upande wa pili(innocent party) kadri ya mkataba unavyoeleza.Mfano kesi ya simba na yanga kwa hasan kesi aliyevunja mkataba na simba una kipengele hicho cha gharama endapo mmoja atavunja mkataba.Ni vema kuwa makini kabla hujavunja mkataba maana unaweza ukafilisiwa kwa kucompasate loss resulted from contract terminating between the two parties.
S.5(2) of law of contract deals with termination of acceptance.
Or we call remedy for breach of contract.
Ukivunja mkataba utawajibishwa kisheria na Damages yaani hasara iliyopatikana kwa sababu ya wewe kuvunja mkataba utailipa.
In short mambo ya sheria ni mlolongo mrefu ila yanaeleweka na ni mazuri.Hata hiyo damages waweza kugoma kuilipa kama yeye amechangia hasara kupatikana hadi kupelekea mkataba kuvunjika(mitigation to loss).
Mfano mimi nina mkataba wa kuleta maziwa nyumbani kwako kwa ajili ya mwanao ambaye akikosa maziwa yaweza kupelekea kifo.Sasa ule muda wa kuleta maziwa siku moja nimefika pale nikakuta umefungulia mbwa nikashindwa kuingia nikakaa mbali.
Ukaamua kunishtaki kwa kusababisha madhara kwa mwanao mimi mahakamani nikijieleza vema na mahakama ikajiridhisha kweli kuwa siku hiyo ulimwacha mbwa wazi hapo nikeamba wewe umechangia uwepo wa madhara kwa mtoto sikulipi damage.
Mkuu mambo ni mengi ila nakushauri uwe msomaji wa nyaraka za kisheria.
 
Zaidi pitia hapa s.10 law of contract,element of contract.
But kumbuka A contract is an agreement but not all agreement are contract unless otherwise if they are enforciable by law.
 
Ukitoa notice ya siku 30 kwa mwajiri atakulipa mshara wa huo mwezi wa notice?
 
Ondoka na mali ya mwajiri, hapo utajikuta uko counter ya polisi unapewa beers nafikiri
 
Ukitoa notice ya siku 30 kwa mwajiri atakulipa mshara wa huo mwezi wa notice?
Ndiyo. Unaweza kumpa Notice ya mwezi mmoja muajiri wako kuwa unataka kusitisha mkataba na atakulipa stahiki zako zote ndani ya mwezi huo. Ikiwa utampa notice ya 24 hours, utapaswa kumuachia mshahara wa mwezi mmoja.
 
Mkataba una terms and condition and whoever(promisee or promiser) who fail to comply these terms and condition have to pay compasation on the second party.
Ili mkataba uitwe mkataba unahitaji vitu saba kisheria.Ndani ya vitu saba hivyo ndimo kuna suala unalolisema hususani ktk kipengele cha Consideration.
Nionavyo huo siyo mkataba bali ni makubaliano tu.
Kumbuka kuwa si kila makubaliano ni mkataba mpaka pale yanapokidhi vigezo vya kisheria ktk mkataba.
Waone wanasheria au google law of contract.
Fahamu hili suala la msingi, sheria inayoongoza masuala ya ajira ama mkataba wa ajira ni sheria ya ajira na mahusiano kazini yaani The Employment and Labour Relations Act na kanuni zake nyingine kama Code of Good Practice. Si kila mkataba ni subject to Law of contract, mfano mkataba wa upanganyaji na upangishwaji wa nyumba/ardhi(lease contract) upo chini ya sheria ya masuala ya ardhi, kadhalika pale ambapo kuna makubaliano ardhi kuwekwa rehani Ili kupata mkopo(mortgage deed) mkataba wa aina hii ni tofauti na Law of contract yaani haungozwi na sheria hiyo.
 
Wakuu Mkataba wangu unaonyesha namna Employer anavyoweza kuvunja mkataba kwa kumpa employee notice lakini hauonyeshi namna employee atavunja. Jenitumie njia ipi sahihi ku resign?
Asanteni
Kama umeshasain ni kosa,,uwe makn sana kweny suala LA mkataba man ule n uhusiano wa kiajira kat yako wew na mwajiri wako
 
Wakuu Mkataba wangu unaonyesha namna Employer anavyoweza kuvunja mkataba kwa kumpa employee notice lakini hauonyeshi namna employee atavunja. Jenitumie njia ipi sahihi ku resign?
Asanteni

Kama mkataba huo umeingia hapa nchini TZ sheria inayohusika na maswala ya ajira ni EMPLOYMENT AND LABOUR RELATIONS ACT. Hivyo kama hakuna clause kwenye mkataba inaekeza jinsi ya muajiriwa ku-terminate employment agreement basi rejea kwenye sheria . Na mojawapo ya njia hizo ni kutoa notice hata ya 24 hrs
 
Mkataba una terms and condition and whoever(promisee or promiser) who fail to comply these terms and condition have to pay compasation on the second party.
Ili mkataba uitwe mkataba unahitaji vitu saba kisheria.Ndani ya vitu saba hivyo ndimo kuna suala unalolisema hususani ktk kipengele cha Consideration.
Nionavyo huo siyo mkataba bali ni makubaliano tu.
Kumbuka kuwa si kila makubaliano ni mkataba mpaka pale yanapokidhi vigezo vya kisheria ktk mkataba.
Waone wanasheria au google law of contract.
Mkuu unaufahmu mkubwa asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom