Msaada:Mkataba wangu haunyoeshi utaratibu wa Employee ku terminate contract

Kumbuka pia mkataba unaweza kuvunjwa kwa njia zifuatazo.
1.Kama wote waawili mtakaa pamoja mkakubaliana kusitisha mkataba.
2.Ikiwa mmoja kati yenu atashindwa kufullfill vigezo na masharti yaliyo ktk mkataba yaani akawa ana perform under quality.
2.Ikiwa mmoja ataamua kuvunja mwenyewe kwa sababu zake mwenyewe mf.kupata kazi nyingine nzuri kuliko ile.
Anayevunja mkataba lazima alipe fidia kwa upande wa pili(innocent party) kadri ya mkataba unavyoeleza.Mfano kesi ya simba na yanga kwa hasan kesi aliyevunja mkataba na simba una kipengele hicho cha gharama endapo mmoja atavunja mkataba.Ni vema kuwa makini kabla hujavunja mkataba maana unaweza ukafilisiwa kwa kucompasate loss resulted from contract terminating between the two parties.
S.5(2) of law of contract deals with termination of acceptance.
Or we call remedy for breach of contract.
Ukivunja mkataba utawajibishwa kisheria na Damages yaani hasara iliyopatikana kwa sababu ya wewe kuvunja mkataba utailipa.
In short mambo ya sheria ni mlolongo mrefu ila yanaeleweka na ni mazuri.Hata hiyo damages waweza kugoma kuilipa kama yeye amechangia hasara kupatikana hadi kupelekea mkataba kuvunjika(mitigation to loss).
Mfano mimi nina mkataba wa kuleta maziwa nyumbani kwako kwa ajili ya mwanao ambaye akikosa maziwa yaweza kupelekea kifo.Sasa ule muda wa kuleta maziwa siku moja nimefika pale nikakuta umefungulia mbwa nikashindwa kuingia nikakaa mbali.
Ukaamua kunishtaki kwa kusababisha madhara kwa mwanao mimi mahakamani nikijieleza vema na mahakama ikajiridhisha kweli kuwa siku hiyo ulimwacha mbwa wazi hapo nikeamba wewe umechangia uwepo wa madhara kwa mtoto sikulipi damage.
Mkuu mambo ni mengi ila nakushauri uwe msomaji wa nyaraka za kisheria.
Sante kalesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom