Mkuu wakatiunasiaini ulikua na wenge la mshahara ukasahau kusoma vizuri kabla hujasaini??Hapo heading ni Contract sio Cintract modes nisaidie kurekebisha.
Sio kwamba haiwezekani ku resign nataka uzoefu ktk hili sheria zikoje, najua kuna utaratibu uliowekwa kisheria hata kama kwenye contract ila ipo sheria mama Labor Law.Mkuu wakatiunasiaini ulikua na wenge la mshahara ukasahau kusoma vizuri kabla hujasaini??
Kama ushasaini imekula kwako ngoja mpaka muda wa mkataba uishe!
Law of contract inaelekeza namna ya ku-vunja mkataba!?Mkataba una terms and condition and whoever(promisee or promiser) who fail to comply these terms and condition have to pay compasation on the second party.
Ili mkataba uitwe mkataba unahitaji vitu saba kisheria.Ndani ya vitu saba hivyo ndimo kuna suala unalolisema hususani ktk kipengele cha Consideration.
Nionavyo huo siyo mkataba bali ni makubaliano tu.
Kumbuka kuwa si kila makubaliano ni mkataba mpaka pale yanapokidhi vigezo vya kisheria ktk mkataba.
Waone wanasheria au google law of contract.
Inaelekeza vema,kuna kipengele ndani kinaitwa contract termination kiko chini ya subtopic ndogo hv nimeisahau kidogo.Law of contract inaelekeza namna ya ku-vunja mkataba!?
Kumbuka pia mkataba unaweza kuvunjwa kwa njia zifuatazo.Law of contract inaelekeza namna ya ku-vunja mkataba!?
Inaelekeza vema,kuna kipengele ndani kinaitwa contract termination kiko chini ya subtopic ndogo hv nimeisahau kidogo.
Ndiyo. Unaweza kumpa Notice ya mwezi mmoja muajiri wako kuwa unataka kusitisha mkataba na atakulipa stahiki zako zote ndani ya mwezi huo. Ikiwa utampa notice ya 24 hours, utapaswa kumuachia mshahara wa mwezi mmoja.Ukitoa notice ya siku 30 kwa mwajiri atakulipa mshara wa huo mwezi wa notice?
Fahamu hili suala la msingi, sheria inayoongoza masuala ya ajira ama mkataba wa ajira ni sheria ya ajira na mahusiano kazini yaani The Employment and Labour Relations Act na kanuni zake nyingine kama Code of Good Practice. Si kila mkataba ni subject to Law of contract, mfano mkataba wa upanganyaji na upangishwaji wa nyumba/ardhi(lease contract) upo chini ya sheria ya masuala ya ardhi, kadhalika pale ambapo kuna makubaliano ardhi kuwekwa rehani Ili kupata mkopo(mortgage deed) mkataba wa aina hii ni tofauti na Law of contract yaani haungozwi na sheria hiyo.Mkataba una terms and condition and whoever(promisee or promiser) who fail to comply these terms and condition have to pay compasation on the second party.
Ili mkataba uitwe mkataba unahitaji vitu saba kisheria.Ndani ya vitu saba hivyo ndimo kuna suala unalolisema hususani ktk kipengele cha Consideration.
Nionavyo huo siyo mkataba bali ni makubaliano tu.
Kumbuka kuwa si kila makubaliano ni mkataba mpaka pale yanapokidhi vigezo vya kisheria ktk mkataba.
Waone wanasheria au google law of contract.
Kama umeshasain ni kosa,,uwe makn sana kweny suala LA mkataba man ule n uhusiano wa kiajira kat yako wew na mwajiri wakoWakuu Mkataba wangu unaonyesha namna Employer anavyoweza kuvunja mkataba kwa kumpa employee notice lakini hauonyeshi namna employee atavunja. Jenitumie njia ipi sahihi ku resign?
Asanteni
Wakuu Mkataba wangu unaonyesha namna Employer anavyoweza kuvunja mkataba kwa kumpa employee notice lakini hauonyeshi namna employee atavunja. Jenitumie njia ipi sahihi ku resign?
Asanteni
Mkuu unaufahmu mkubwa asanteMkataba una terms and condition and whoever(promisee or promiser) who fail to comply these terms and condition have to pay compasation on the second party.