niko na mkataba hapa, bado sijaanza...nasubiria mashauri yenu huwez amini! Nisaidie hesabu mkuu...nasubiria: kwa huo mshahara wa 400,000: PPF ni tsh ngapi watakata exacly? pia PAYE. thanks.
Nisaidie hesabu mkuu...nasubiria: kwa huo mshahara wa 400,000: PPF ni tsh ngapi watakata exacly? pia PAYE. thanks.
hii mifuko (nssf, ppf, gepf etc.) employer anatakiwa kupeleka 20%, mnachanga, that is employer anatoa 10% na employee (wewe hapo) unatoa 10%, alafu kuna PAYE ambayo ndio withholdng tax ya mshahara wako ambao unakatwa toka kwnye mshahara wako baada yakutoa ile 10% ya PPF
kwa hyo kwa 400,000/= 10% ni 40,000/= itapelekwa PPF, sasa in calculations za PAYE, unachukua 400,000 - 40,000= 360,000/= .
Kwa rules za tax ya mshahara (2015) mtu anaepata 170,000/= and below hakatwi PAYE, ila above that unachukua the amount extra from hiyo 170000 unacalculate 12% yake, in your case, 360,000 - 170,000= 190,000 ambayo 12% yake ni 22,800/=
So PPF ni 40,000 na PAYE ni 22,800 jumla ya makato ni 62,800/= tu, take home 337200...sasa sijui makato mengne unless kama umekopa pia, just make sure usikatwe SDL cz employers wengne wahuni
mkuu mshahara wako ni milioni 2, 10% ndiyo hiyo laki 2 waambie wamekosea mshahara siyo laki 4Sasa si mnijibu mimi nasubiri majibu????? aslimia ya makato (exact ya amount kwakutokana na huo mshahara) ni tsh ngapi kwa PPF na PAYE???
Imagine utaki hata kutafuta wakati unajua TRA wako online...Nisaidie hesabu mkuu...nasubiria: kwa huo mshahara wa 400,000: PPF ni tsh ngapi watakata exacly? pia PAYE. thanks.
Punguza kihere here:yawn:Usiiingie kichwa kichwa.Unaweza kujikuta unaonoka na Laki Moja kwa Mwezi.
Mikataba ya kina Ramadhani Singano wa Simba hiyo.
Kwanza kama ulikuwa under probation ni kwamba kuna staffs wenzio karibu,waulize wakusaidie kujua kama mkataba huo unafanana na wa kwao.Uandishi wa mkataba wowote hauna Formula maalum,na ndio maana Waajiri wengi wanatumia njia hiyo kuwaingiza wenzao mkenge.
Usisahau kutoa 30% ya mshahara wako wa kwanza Kumpa Mama yako Mzazi.Na 3% ya Mshahara wako wa Mwanzo Kutoa Sadaka kwa yatima na sio kwenye Nyumba za Ibada
Habari zenu,
Niko kwenye ofisi ya kampuni moja, baada ya probation leo hii najaza mkataba, kuna mambo yamenishtua kidogo hapa hivyo naomba ushauri wako tafadhali.
1. Mshahara ni laki 400,000 Tshs sasa kwenye fomu ya PPF imeandikwa makato ni 10% ambayo ni 200,000...je hii ni sawa? na kama ni sawa laki 2 sio 50% ya huu mshahara?
2. Makato ya mfuko si yanaanza baada ya miezi 3 ya ajira ya mkataba (kwa mujibu wa uzoefu wa ajira yangu iliyopita ingawa ilikuwa ni NSSF)...iweje hii ya PPF makato yaanze mwezi huu huu?
Asanteni.
majibu yenu ndio yatanipa hitimisho la mm kujaza au la.

kwa mshahara huu utajenga lini? au watoto wataendelea kusoma st.kayumba mpaka lini?
Nimekua Payroll Accountant kwa karibia 5years, na hiki ndicho nachoweza kukusaidia, labda.Habari zenu,
Niko kwenye ofisi ya kampuni moja, baada ya probation leo hii najaza mkataba, kuna mambo yamenishtua kidogo hapa hivyo naomba ushauri wako tafadhali.
1. Mshahara ni laki 400,000 Tshs sasa kwenye fomu ya PPF imeandikwa makato ni 10% ambayo ni 200,000...je hii ni sawa? na kama ni sawa laki 2 sio 50% ya huu mshahara?
2. Makato ya mfuko si yanaanza baada ya miezi 3 ya ajira ya mkataba (kwa mujibu wa uzoefu wa ajira yangu iliyopita ingawa ilikuwa ni NSSF)...iweje hii ya PPF makato yaanze mwezi huu huu?
Asanteni.
majibu yenu ndio yatanipa hitimisho la mm kujaza au la.
Amekwambia anataka mshahara ili ampate huyo lara1.
Nisaidie hesabu mkuu...nasubiria: kwa huo mshahara wa 400,000: PPF ni tsh ngapi watakata exacly? pia PAYE. thanks.
Acha kuishi maisha ya kufuata mkumbo.
wapo mkataba wako naaza tarehe 1/7/2015. Ppf= 40,000. Paye/tra= 20900.take home 339,100habari zenu,
niko kwenye ofisi ya kampuni moja, baada ya probation leo hii najaza mkataba, kuna mambo yamenishtua kidogo hapa hivyo naomba ushauri wako tafadhali.
1. Mshahara ni laki 400,000 tshs sasa kwenye fomu ya ppf imeandikwa makato ni 10% ambayo ni 200,000...je hii ni sawa? Na kama ni sawa laki 2 sio 50% ya huu mshahara?
2. Makato ya mfuko si yanaanza baada ya miezi 3 ya ajira ya mkataba (kwa mujibu wa uzoefu wa ajira yangu iliyopita ingawa ilikuwa ni nssf)...iweje hii ya ppf makato yaanze mwezi huu huu?
Asanteni.
Majibu yenu ndio yatanipa hitimisho la mm kujaza au la.