Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Habari zenu,
Niko kwenye ofisi ya kampuni moja, baada ya probation leo hii najaza mkataba, kuna mambo yamenishtua kidogo hapa hivyo naomba ushauri wako tafadhali.
1. Mshahara ni laki 400,000 Tshs sasa kwenye fomu ya PPF imeandikwa makato ni 10% ambayo ni 200,000...je hii ni sawa? na kama ni sawa laki 2 sio 50% ya huu mshahara?
2. Makato ya mfuko si yanaanza baada ya miezi 3 ya ajira ya mkataba (kwa mujibu wa uzoefu wa ajira yangu iliyopita ingawa ilikuwa ni NSSF)...iweje hii ya PPF makato yaanze mwezi huu huu?
Asanteni.
majibu yenu ndio yatanipa hitimisho la mm kujaza au la.