Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,665
Unaogopa nini kuwauliza wenyewe waliokupa mshahara? Acha nidhamu ya uoga kwa kudhani kuwa ukiwauliza watakasirika na kukutimua.....
WEWE ni mwanaume usiogope...wakikufukuza hakutaluwa na tofauti maana huo mshahara kama vile bado huna kazi tu....haukuongezei chochote.......
WEWE ni mwanaume usiogope...wakikufukuza hakutaluwa na tofauti maana huo mshahara kama vile bado huna kazi tu....haukuongezei chochote.......