Msaada: Microsoft wamenitumia barua ya kunionya

Msaada: Microsoft wamenitumia barua ya kunionya

Siku hizi matapeli ni wengi, kuwa makini Mkuu.
 
Usiache kuleta MREJESHO kwa chochote kitakachotokea. Hao ni wezi tu. Kama umejawa na wasiwasi zaidi,tafuta msaada wa kisheria. Microsoft hawajui box lako na wala hawaju uishipo hivyo kama ni onyo wangekutumia kupitia email na si vinginevyo
 
Piri...mbiri....kiswahili kuandika kazi hizo barua za microsoft utazielewa
 
Hao sio Microsoft, ni wezi tu wanajua jinsi ya kuibia watu pesa na naona wamekuweka kwenye angle nzuri.

Hongera kwa kuja kuuliza kwanza maana hapo mjinga angekua ashatoa hela waje kufanya installation na wangejipanga na maCD yao wangekuja na non~genuine software hiyohiyo wanayoipondea alafu wakuwekee, wabongo wengi ni wajinga mambo haya wangeamini kabisa.

Ingekua mimi ningewambia waje wafanye alafu wakifika wanakutana na mapolisi wamejipanga foleni na pingu.
 
km nilivyoeleza hapo juu nikama wiki tatu zilizopita walinitumia barua kwa DHL ikitoka katika oficce yao ya kenya kuwa natumia software ambayo siyo genuine na haiko lincesed wakaendelea zaidi na kudai kuwa hadi ifikapo tarehe 15 mwenzi huu nipeleke uthibitisho wa microsoft software zote ninazotumia ktk oficce yngu kama zipo genuine(ingawajeea sijui naupeleke wapi huo uthibitisho na ni upi)
barua ni hii
4b0e66dca47f6b3b2a0207c463ca3f5c.jpg

762bb3e2a1ca2d1ad01d1512147e5aff.jpg

65041834baf9776ccd0aa2286c961841.jpg



mimi nikauchuna 7bu sikujua nini wanataka na ni computer ipi hiyo wanaizungumzia 7bu hapa ofisini natumia computer tatu laptop moja na mbiri desktop na mm km sotware za microsoft natumia oficce 2007 na window 7 tu sasa sijui wanazangumzia software ipi nashindwa kuelewa

sijakaa vizuri kama siku mbiri zilizopita wamenitumia barua nyingune wanataka wakutane na IT team ili wajadili hili swaLa wakati mm sijamwajiri mtu yoyote wa IT
barua ya juzi ambayo na ya piri ni hii
2e63d47df459ff62166aa72ace0481af.jpg


wasiwasi wangu najiuliza
wamejuaje location ya oficce yngu na P.O.BOX number mpk kunitumia barua kwa DHL
wakati katika hizi computer sijaingiza information yangu yoyote kuhusu hii kampuni yangu na hata mm mwenyewe

pili ninavyojua km ukitumia software ambayo si genuine watakupa taalifa then itahesabu siku zikipungua kama hujalipia mwisho unashindwa kutumia sasa je mbna sion taarifa yoyote na software zote ziko poa

tatu km ni oficce na window mbna natumia computer hizihizi na ni mwaka na miezi km 10 sijawai pewa taalifa hii

wametoa namba nipige ila sijajua nitajieleza vp nimeleta hapa nipate ushauri kbla sijawapigia
maana isije ikawa mataperi nikaingizwa mjini

Beware!

Hao ni matapeli kwa sababu huna mkataba nao.
Pia hiyo DHL wanayotumia ni njia ya kukutisha ili utoe wanachotaka.
 
Kipindi cha nyuma walikuwaga wanakuja kabisa,waliwahi kuwa wanapita kkoo..i dont expect them wakutumie through DHL kuwa makini,hao watakuwa wapigaji
 
Kipindi cha nyuma walikuwaga wanakuja kabisa,waliwahi kuwa wanapita kkoo..i dont expect them wakutumie through DHL kuwa makini,hao watakuwa wapigaji
Hii DHL ndo njia gani mkuu
 
Bila shaka ni wezi hao, Microsoft Digital Crimes unit haihusiki na kufuatilia license za Microsoft wana fuatilia wezi wa mtandaoni kama watengeneza malware na wengine. So wanatumia jina kukutisha tu. Usijibu hiyo barua wala kuopiga simu kokote.

The Microsoft Digital Crimes Unit (DCU) is a Microsoft sponsored team of international legal and internet security experts employing the latest tools and technologies to stop or interfere with cyber crime and cyber threats.
 
nimewapata vizuri nitawapa mrejesho kitakacho tokea now nawasikilizia mbio zao mpk hyo tarehe 26
 
Scan hizo barua then watumie Microsoft pamoja na malalamiko yako
 
njoo PM nikupe data maana hawa jamaa hata mimi waliwai kunichimba mkwara!na wakatimba kwa office aisee!
 
Hii ni mara ya kwanza kukutana na scenerio kama hii, kwa ufahamu wangu microsoft uwa wanatoa warning remotely via your computer. Na sio kwa barua, lakini jiulize hizo computer zako umeziweka kwenye mfumo wa LAN.

Wasije wakawa matapeli mkuu maana siku hizo watu wako innovative sana kwenye wizi.
 
Back
Top Bottom