Naomba Msaada Jinsi Ya Kutatua Tatizo Hili Kwenye Computer.

Naomba Msaada Jinsi Ya Kutatua Tatizo Hili Kwenye Computer.

Mawaiba

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
417
Reaction score
151
Habari za wikiendi wanaJF. Kuna tatizo ambalo limejitokeza kwenye computer yangu, tatizo ambalo nimeshindwa kulipatia ufumbuzi kwa takribani siku ya tatu mpaka leo. Ni kwamba karibia icon zote katika Start Menu zimebadilika na sasahivi karibia program zote zilizopo katika Start Menu zinaonekana kwa icon ya Microsoft Office Word. Kibaya zaidi ni kwamba sasahivi siwezi kufungua program yoyote kwenye computer, kwa sababu kila ninapojaribu kufanya hivyo inafungua Office Word tu. Naomba anaejua jinsi ya kurekebisha tatizo hili anipe maelekezo. Natumia Window 7 ultimate.
 
Jaribu kuGoogle hivi;

"All icons change to Microsoft office word" halafu fungua links walau sita za mwanzo, utapata jibu lako.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jaribu kuGoogle hivi;

"All icons change to Microsoft office word" halafu fungua links walau sita za mwanzo, utapata jibu lako.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Asante kwa msaada mkuu. Tatizo sina access ya internet karibu yangu, nipo kikazi wilayani Tandahimba, hakuna internet cafè ambayo ni reliable hapa. Istoshe nilikuwa natumia modem ya Zain(Airtel) lakini sasahivi nashindwa ku-connect internet kwa sababu ya tatizo hilo.
 
Usijali mkuu, subiri wenye access waGoogle halafu waje.

1. Jaribu kuiBoot computer yako kwa safe mode halafu uone inakuwaje.

2. Anti-Virus yako ipo up to date? Kama anti-virus yako ipo up to date na unayo installation CD ya Microsoft office word, jaribu kuiUninstall hiyo Microsoft office word halafu uone itakuwaje.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Usijali mkuu, subiri wenye access waGoogle halafu waje.

1. Jaribu kuiBoot computer yako kwa safe mode halafu uone inakuwaje.

2. Anti-Virus yako ipo up to date? Kama anti-virus yako ipo up to date na unayo installation CD ya Microsoft office word, jaribu kuiUninstall hiyo Microsoft office word halafu uone itakuwaje.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Asante mkuu ngoja nijaribu halafu nitakupa feedback. Ila antivirus yangu haiko up to date. Huwa natumia kaspersky ambayo huwa inakuwa out of date kila baada ya siku 7 kama sijawa connected kwa muda mrefu.
 
No sina airtel nina tigo tu lakini kama unaweza ku click kwenye program moja wapo na kuingia kwenye propaties alafu kuna sehemu inasema (open with )

Badilisha hapo na uweke nyingine kama ni video weka window media player na kama ni picha weka window picture viwer na nyinginezo
 
Hebu jarbu hii,
start>RUN > then kwenye kbox cha Run type Cmd then press enter, command promp it will pop up
hlf andika "Chkdsk" then press enter
hlf iache kwa mda, utao window inafanya repair kwenye mafile yaliyo corrupt.
Ikimalza mpaka 100%
andka exit ili kuondoka then restart ur Pc.
 
Hata wale wakoma 10 walioponywa na Yesu alirudi mmoja tu kushukuru. Ila msikate tamaa ya kutusaidia coz wengne huwa tunarudi kushukuru.
 
Ndugu matatizo ya aina hiyo mengi hayaondoki kwa ku update antivirus au sysytem restore,it has something to do with Registry(file extensions) na yanatokea mtu anatumiwa document kwenye e-mail wakati wa kufungua akijichanganya kuchagua program ya kufungulia hii kitu inajitokeza.Hiyo ya word sijawahi solve nitajaribu kutafuta solution ila ya all icon kuwa na internet explorer na adobe reader icons nilishasolve.
Nashauri tuwe tunatoa solution ambazo sisi wenyewe tulishawahi kuzitumia na zikafanya kazi.Mnaoomba misaada mkifanikiwa mtufahamishe na solution iliyowasaidia ili next time tatizo la aina hiyo likitokea tunatumia solution iliyopo na si kuanza tena upya.
 
Back
Top Bottom