Msaada: Mgogoro best yangu na mke wake

Mi sishangai kwasababu nimeona watu wanalipwa 40000 kwa mwezi na ana familia sasa piga hesabu huyu mtu anaishi vipi.
Hatujakataaa kuhus hilo, wengine hawana kazi ya mshahara na wana familia na maisha yanaenda as usual.
Ila shopping ya 90k watu wa 3, msimu wa skukuu af n kkoo, mmmh
 
Mwambie jamaa yako mkewe hajaibia sema hajapenda pesa alompa. Si unajua alitegemea apewe hata laki 2 atume kwao matumizi?

Kama kaenda na watoto asubiri muda upite watoto watampa majibu.
 
Hatujakataaa kuhus hilo, wengine hawana kazi ya mshahara na wana familia na maisha yanaenda as usual.
Ila shopping ya 90k watu wa 3, msimu wa skukuu af n kkoo, mmmh
Nguo zipo mpaka. 5000 mpya za watoto kwa hivo sishangai.
 
Hajasema ni shopping ya nini! Inawezekana siyo ya nguo kama unavyofikiria wewe na nguo alishanunua. Wakati wa sikukuu watoto wanaweza kununuliwa vitu vya aina nyingi.
Amesema ni shopping ya sikukuu sasa sikukuu watoto wananunuliwa nini, au toys? Kama sio nguo basi ni viatu, kama sio viatu, yes nguo watoto wananunuliwa wakati wote ila mwenye mada kasema bi shopping ya sikukuu
 
Jamaa "anamweka mkewe kwenye majaribu makubwa", akishawishiwa akashawishika kosa ni la mume.
Nimeshangaa sana kuona mtu anampa mke 90,000 ta shopping ya watoto wawili, wakati mwingine inabidi mume nae aingie madukani ajue vei ya vitu bila hivyo utajikuta unamnyanyasa mke bure
 
Mkuu unapesa eeeh.

Mfano mimi kipato changu kwa mwezi laki mbili na nusu...hizo suti za 75000 wanangu watazisikia kwako mkuu.
Pole sana, ila swala la nguo za watito na mahitaji yao halijali sana kipato, mara moja moja kwa mwaka unajitosa familia yako nao wafurahi
 
Kwan hiyo 90k mbona mtoa mada haja specify kuwa ni shopping ya nn!!!
Huenda ni shopping ya jikon tu..nyanya na mambo simple simple.au huko kkoo ni nguo tu!?
Sasa nyanya na vitunguu ndio amwambie akawafanyie watoto shopping? Maana mtoa mada amesema mke alipewa akawafanyie watoto wawili shopping
 
Wee bhana si msimu wa sikukuu tyuuuh, it means nilijichanga kwa mwaka mzima.
Mie sna kazi yeyote, naishi kkb, kula, kulala bure.
Ndio maana unadharau hela

Wenye familia zao wanawaangalia tu mnavyojisemesha hapa
 
Ndio maana unadharau hela

Wenye familia zao wanawaangalia tu mnavyojisemesha hapa
Heeeh wee nae, hata km ivo, iv 90k ni ya shopping kwa watu wa 3? Plus chakula tena kkoo? Afu ni msmu wa skukuu,
Aaaaah wee acha zako bhanaah.
 
Heeeh wee nae, hata km ivo, iv 90k ni ya shopping kwa watu wa 3? Plus chakula tena kkoo? Afu ni msmu wa skukuu,
Aaaaah wee acha zako bhanaah.
Hapa tunatufautiana jambo moja tu

Inawezekana hiyo ni hela ndogo kwako
Na inawezekana hiyo ni hela kubwa kwa mwingine

Yote yanawezekana, lilikua suala la kukubaliana tu sijui mnabishana nini
 
Hapa tunatufautiana jambo moja tu

Inawezekana hiyo ni hela ndogo kwako
Na inawezekana hiyo ni hela kubwa kwa mwingine

Yote yanawezekana, lilikua suala la kukubaliana tu sijui mnabishana nini
Wee umesema nadharau pesa, ndo maan nkakujibu vile.
Tuangalie na ukweli halis lol.
 
90000 watoto wawili
 
Alitaka mkewe arudi akiwa amechanwa mapanga ndio ajue kwamba ameibiwa kweli !??
 
Wee umesema nadharau pesa, ndo maan nkakujibu vile.
Tuangalie na ukweli halis lol.
Kwa mtu mwingine atatafsiri ni dharau

Ukweli tunaotakiwa kuangalia ni kwamba uwezo unatofautiana
 
Nimeshangaa sana kuona mtu anampa mke 90,000 ta shopping ya watoto wawili, wakati mwingine inabidi mume nae aingie madukani ajue vei ya vitu bila hivyo utajikuta unamnyanyasa mke bure
Mke amekataa majaribu...
 
Ampe kipigo cha mbwa koko maana jeuri
kwanini ampige wakati kaenda na Watoto Kariakoo na hawakupotea
si awahoji watoto kupata ukweli
mm ningempa mke wangu nyingine tena arudi Kariakoo siku nyingine
ni ufala kumpeleka Mke Kituo cha mwendo kasi wakati angempeleka Kariako na hiyo mkoko wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…