Msaada memory issues: Android Devices....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,523
wakuu nina sd ya 16GB, na nimeset appa ziwe installed kwa sd. nimekuja kugundua kwamba apps zenye high data usage zinakula intern mem. kwan free space yangu ni 14.2 GB,sasa nahitaji msaada wa kuset app data ziingie kwa sd maana ni kero sana ile notification ya phone storage is getting low unakuta eti free space ni 8MB inanifanya nishindwe hata kudownload more apps. nilijaribu kuchek tutorials nikakutana na hii kitu ila sikuielewa vizuri kwenye kuwrite a line:

Some apps take alot of space when storing their data (e.g facebook) , so that we want to link their data to SD card.

First: Reorder Partitions. You¡¯ll have to reorder your partitions to add a partition for your data.

1 ¨C Connect your phone and open minitool partition wizard. 2 ¨C Resize your main partition by about 256 MB less in the end. 3 ¨C Move your ext4 partition from the resize screen to the left. 4 ¨C Create the un-partitioned space as an ext4.

Step 2: auto-mount.

If you linked apps to SD card , you can easily automate this.

1 ¨C Download and install any file explorer that can open system as su (e.g X-plore , Root explorer. 2 ¨C Open the following file for editing.

/system/etc/init.d/##-link2sd.sh

3 ¨C Add the following line to the file.

mount -t ext4 -o rw /dev/block/mmcblk0p3 /data/data

4 ¨C Restart your phone to take effect.

If you have a slow SD card you¡¯ll probably find that your phone is slower, but you¡¯ll have more storage.
MSAADA WAKUU!
CC: Njunwa wa mavoko, chief-mkwawa, CYBERTEQ
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, mm mwenyewe hili swala lilikua lina nipa tabu kipindi flan, nakumbuka nilifanikiwa kwa njia flani ambayo ulikua unafanya EXT4 partition ya memory card kwa kutumia Minitool partition wizard... sikumbuki process yote, ila plz jaribu kusearch google,,, it worked for me then...
 
kaka hio ni njia ya kuswap internal memory na external memory.

sio ngumu sana nenda hapa.

[MOD][SWAP]Swap Internal SD card and External SD card of most of the Android™ device - xda-developers

kama sjaelewa hebu nieleweshe vzur
daah mkuu nimeenda nayo hiyo ila kutokana na root issues kwa device yangu, nimetengeneza janga jipya baada ya kutember na system files. baada ya kurename ile file kwenda .old, sasa hivi kila nnkiingiza memcard yangu inasema sd removed insert a new one. nikajaribu kwenye gadget ningine inasoma kama kawa na files zote zilizokua kwenye sd zinaonekana. nifanyaje mkuu niweze kurestore aisee? nimekwama kidogo!
 
Kaka lengo la kuandika .old ni kufanya backup unaidanganya simu kuwa hilo file ni jengine haitakiwi ilisome.

Kurudisha kama mwanza easy futa neno .old halafu itarudi kama mwanZo. Jaribu hivyo
 
Kaka lengo la kuandika .old ni kufanya backup unaidanganya simu kuwa hilo file ni jengine haitakiwi ilisome.

Kurudisha kama mwanza easy futa neno .old halafu itarudi kama mwanZo. Jaribu hivyo
imekubali kaka
 
Back
Top Bottom