Acha pombe kijanaMpe pombe
Therapist ndio nani weweeeee juzi hapa haohao wanaojifanya washauri kajiangusha kutoka ghorofani kafa hawana lolote!Sio uzungu, kaka. All humans are the same no matter the race!
Wa Tanzania wengi hatuamini hiki kitu lakini kipo - Sonona ipo tena kwa asilimia zaidi ya mia! Kuna vijana wanaamua kujitoa duniani kwa sababu hizo na ni suala ambalo lingezuilika kwa maongezi tu - Yaani kubadilisha mtazamo wa muathirika kwa maongezi tu.
Kama ulinielewa nilianza na "talk to him" na uelewe anataka nini.. Ila kwa wewe haitakuwa accurate sana ukilinganisha na therapist ambae ataelewa moja kwa moja shida na namna ya kuisolve!!
But again! Is money more important than rescuing a human??
Am laughing and yet it is not funny. Na kwani haujawahi kusikia, "Mganga hajigangi"??Therapist ndio nani weweeeee juzi hapa haohao wanaojifanya washauri kajiangusha kutoka ghorofani kafa hawana lolote!
Shughulika na kinachompa hizo stressHabari
Kuna mdogo wangu mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu mwezi wa 7.
Baada ya kumaliza chuo nilimfwata nyumbani kwa mzee nikamchukua nakuishinae hapa nyumbani kwangu.
Lakini baada ya kukaanae nimegundua kuwa dogo anapresha ya maisha, yani anastress kutokana nakuwaza sana maisha.
Hali hiyo humfanya kutokuwa na furaha kabisa ilhali hakuna anachokosa hapa nyumbani maana anakula vizuri na kulala vizuri.
Sasa ndugu zangu naombeni ushauri nifanye nini hili nimsaidie dogo maana naona anakosa furaha muda mwingi asijekuathirika kisaikolojia
Wa ntwala mwenzang Naona unataka kutumia fursaKama wa kike je yupo tayar kuolewa?
Habari
Kuna mdogo wangu mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu mwezi wa 7.
Baada ya kumaliza chuo nilimfwata nyumbani kwa mzee nikamchukua nakuishinae hapa nyumbani kwangu.
Lakini baada ya kukaanae nimegundua kuwa dogo anapresha ya maisha, yani anastress kutokana nakuwaza sana maisha.
Hali hiyo humfanya kutokuwa na furaha kabisa ilhali hakuna anachokosa hapa nyumbani maana anakula vizuri na kulala vizuri.
Sasa ndugu zangu naombeni ushauri nifanye nini hili nimsaidie dogo maana naona anakosa furaha muda mwingi asijekuathirika kisaikolojia
Huyu ongea naye itakuwa ana matatizo mengine kabisa mathalan mahusiano ya kimapenzi...
kupata chakula kizuri na malazi mazuri siyo kila kitu mzee,kaa na dogo friendly zungumza nae,muwekee mazngra ya yy kufunguka,huenda kuna kitu ambacho kinafanya asiwe na fraha,wewe umekadiria tu kuwa stress za maisha,huenda siyo kweli,vipi tatizo likiwa labda ni HIV test results ambazo hakutarajia kuzipata (mfano),vipi kama hawako sawa na mkeo hapo hom????msikilize dogo,huenda stress za maisha unazisingiziaHabari
Kuna mdogo wangu mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu mwezi wa 7.
Baada ya kumaliza chuo nilimfwata nyumbani kwa mzee nikamchukua nakuishinae hapa nyumbani kwangu.
Lakini baada ya kukaanae nimegundua kuwa dogo anapresha ya maisha, yani anastress kutokana nakuwaza sana maisha.
Hali hiyo humfanya kutokuwa na furaha kabisa ilhali hakuna anachokosa hapa nyumbani maana anakula vizuri na kulala vizuri.
Sasa ndugu zangu naombeni ushauri nifanye nini hili nimsaidie dogo maana naona anakosa furaha muda mwingi asijekuathirika kisaikolojia
HahahaHuu ndio ushauri bora kabisa kutolewa tangu tulipo maliza budget ya mwaka wa fedha...teh[emoji28]
Hili siyo wewe peke yako uliye wahi ku kukieksipiriens tupo wengi mbona 😂 😂 😂 .Hicho kipindi aisee ni kibaya sana,tena kwa mtoto wa kike nadhani ni kipindi kibaya zaidi tho' binadamu ni binadamu,.niliwahi kukieksipiriensi few years ago...lol😂😂😂nyumbani unakula vizuri tena wakati mwingine wewe ndio unapanga mle nini japo huna hata100 mbovu,unalala vizuri and you can hang out with friends sometimes lakini nilijihisi kabisa siko sawa i need something extra,nahitaji KUJITEGEMEA hata kama niko home nahitaji kuwa na "cha kwangu" yaani unakuwa na stress halafu sijui inakuwaje kipindi hiki nacho mahusiano hayanogi yaani hupati mtu yule unamuhitaji daaah😂😂😂😂but all in all ni kipindi kifupi lakini kina mapito ambayo ukivuka salama hakika taji inakuhusu nilikuwa napenda kujiongelesha kwa sauti "Abba Father where are You" "are you listening" "why this" "please help me".....
Ndugu wa karibu pia mna mchango mkubwa wa kumpunguza hayo mawazo,kumpa moyo kwa mifano iliyo hai na kumuhusisha na mambo ya IMANI kama niwaamini..
Au siyoo😂😂Hili siyo wewe peke yako uliye wahi ku kukieksipiriens tupo wengi mbona 😂 😂 😂 .