msaada '''mboga'' - kwa kiingereza

Sorry. tulikua tunaongea kiswahili ila shule nilienda mimi hatukua tunapewa chakula. Kila mtu anatoka na mitewe nyumbani. kama sio mitewe ni rowe. Unajua mitewe na rowe? lol
hahahahahaha....... sina mbavu...

Yani nimekushusha off your high freaking horse mpaka sasa tunaongea mitewe na rowe... from "thikuelewi jamani hicho kiswahili...." ... kudadadadeki!

Sikia Mkuu, sijasema hamirojo na wanga zilikuwa zinaliwa shule. Ila somo la Sayansi Kimu darasa la tatu ilikuwa lazima ufundishwe hamirojo na wanga! Enzi zangu mimi wakati wa shule za Mtakuja Primary school, acha hizi zenu za kata hizi na Saint Mary's hizi ambako ndo mkitoka huko unanambia "wanga" hujui ni kitu gani.

Tuje kwenye "Mitewe na Rowe...." Sikudanganyi, sijawahi kusikia hivyo vyakula hata siku moja, samahani, naomba nifafanulie. Lakini tukikuta ni local foodstuffs za kijijini kwenu peke yako itabidi urudishe huo msamaha niliouomba kwa machungu sana.
 
neno la karibu ni vegetables, kwani kama unavyojua wenzetu mboga zao hawaungi na nyanya mafuta, na vitunguu badala yake, wanachemsha tu; lakini sisi vegetables ziel zile huwa tunaziunga na nyanya, mafuta, na vitunguu;
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom