Msaada: mashine za kuprint mabango

Msaada: mashine za kuprint mabango

Naibili

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
1,878
Reaction score
1,061
wakuu nnaomba msaada wenu, mahala ambapo nnaweza kupata mashine za kuprint mabango, stika na kama wafahamu bei pia si mbaya ukanijuza.
Ramadhani karim
 
nenda pale haidary plaza kuna duka la mhindi ground floor linaitwa canon city utazipata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom