Msaada marafiki zangu nitakufa mimi jamani

Msaada marafiki zangu nitakufa mimi jamani

..sijasema elfu 5 si pesa.. Ila nimekupa ushauri ambao ni njia endelevu zaidi ya kujipatia kipato haraka wewe kama demu...ambayo ni kujiuza mwili wako...hii ni njia endelevu zaidi ya kuombaomba hela mitandaoni wakati umekalia mtaji....
Mungu akusamehe that's all I can say
 
..kwa lipi?..kukupa ushauri unaweza kuchukua ama kuacha.....vinginevyo Inaonekana unatoa hukumu kwa wengine...wakati mwenye shida ni wewe... Pambana na hali yako mama....

Mungu akusamehe that's all I can say
 
..kwa lipi?..kukupa ushauri unaweza kuchukua ama kuacha.....vinginevyo Inaonekana unatoa hukumu kwa wengine...wakati mwenye shida ni wewe... Pambana na hali yako mama....
Kwahiyo unaona busara kabisa kunishauri nijiuze ili niweze kuishi?
Mungu aendelee kukusamehe tu
 
ACHA USANII BANAA.LEO TAREHE 17 NOV.ELF 5 ITAKUFIKISHAJE TAREHE 23 NOV ? KAMA SIO USANII NI NINI ? ANY WAY ! KWA NINI USIKOPE KWENYE TIMIZA YA AIRTEL UKAWALIPA BAADA YA 2 WEEKS.HATA UKITAKA KUKOPA ELF 50 WAPO POA TU,ILI MRADI UJIPANGE JINSI YA KURUDISHA.
 
Kwahiyo unaona busara kabisa kunishauri nijiuze ili niweze kuishi?
Mungu aendelee kukusamehe tu
Dada achana na wasukuma hao huwa hawanaga akili kabisaaa hao ni kabila la ajabu kuwahi kutyokea duniani ndio maana mambo yao mengi ni vichekesho tuu! Samahan lakin kama na wewe ni msukuma .ila ukweli hao jamaa ni pasua kichwa akili zao na hayo ndio huwa majibu yao maranyingi.
 
Jamani matapeli sikuhizi ni mengi yanakuja kwa njia ya shida na msaada binafsi Nimekutana nao wengi kuelezea humu muda hautoshi yani mtu anakufata umsaidie nauli kapoteza wallet unampa ukizunguka mtaa wa pili unakuta anamuomba mtu mwingine wengine sijui anasingizia ugonjwa N.K
 
..kama huna njia nyingine kabisa ya kujipatia mlo..kujiuza ni bora kuliko kuombaomba....wapo wanaojiuza wanalisha family Na hata kujenga....umalaya ni kazi ya kipato....na ni endelevu....na kujiuza si lazima ujipange barabarani....kuliko kuombaomba...unaweza kulifanya hili hata humu JF...kuliko kuombaomba kama yatima....

Kwahiyo unaona busara kabisa kunishauri nijiuze ili niweze kuishi?
Mungu aendelee kukusamehe tu
 
Habarini wana Jf kwa mara ya kwanza najitokeza kuomba msaada kwenu naamini nitasaidika nipo katika hali ngumu sana

Mwenye shilingi elf 5 tu naomba anisaidie nitamrudishia mwiisho wa mwezi angalau inisaidie kuishi mpaka tarehe 23/3

Hapa ninapoandika thread hii sina cent tano mfunikoni sina pa kukimbilia nikaona nije huku najua kuna watu watakaoguswa kunisaidia.

I declare my interest mimi ni mfanyakazi serikalini na nina mshahara si mkubwa sana ila unaitosha kwa kuishi na kulipa kodi ila mwezi huu nilipatwa na challenge ambayo ilisababisha nilimaliza hela zote toka tarehe 5/11 kuanzia hapo nikaanza kukopa kwa rafiki wa karibu sasa imekuwa too much mpaka naona aibu kukopa tena

Nimekuwa nikila mlo mmoja kuanzia tar 5/11 mpka sasa naona hali yangu sio nzuri kiafya. Nimejaribu kuuza simu bila mafanikio ya kupata mteja.

Naomba mnisaidie dada yenu kuna muda nawaza hata kwenda kujiuza maana sina namna ya kuishi.

Najua mtauuliza nimenunua vipi vocha na kuweka mb ni Hivi nilikua nimebakiwa na 500 tu nikaona nitumie njia hii labda naweza pata msamaria humu wa kunikopesha hata kwa riba.

Natanguliza shukrani za dhati kwa atakaenisaidia mkopo wa sh 5000 kwa riba ya 5000.

Ukiguswa kunikopesha naomba nione pm nikupe namba
Msaada wa haraka wanajf kabla MB hazijaisha zikiisha hata hiyo pm sijui nitaifunguaje
kama unatumia
1.m-pesa piga *150*00#
chagua 5 mpawa kisha fuata maelezo
2 .tigopesa piga *150*81#
kisha fuata maelezo
3 airtel money *150*60#
kisha chagua airtel timiza
4.Tala Tanzania – mkopo nafuu Android Google Play
5.Branch – mkopo rahisi Android Google Play
 
Unaweza kuwa serious lakini kuaminika mmh. Mungu akusaidie upate
 
Hiyo hela utumiwe kwa njia gani!? Uaminifu upo vipi?

Niombee nimle mhindi maana nina mikeka nimeiweka nasubiria itiki!!
mkuu vipi bado haujamla mhindi tu mpaka sasa hvi?
 
Back
Top Bottom