Habarini wana Jf kwa mara ya kwanza najitokeza kuomba msaada kwenu naamini nitasaidika nipo katika hali ngumu sana
Mwenye shilingi elf 5 tu naomba anisaidie nitamrudishia mwiisho wa mwezi angalau inisaidie kuishi mpaka tarehe 23/3
Hapa ninapoandika thread hii sina cent tano mfunikoni sina pa kukimbilia nikaona nije huku najua kuna watu watakaoguswa kunisaidia.
I declare my interest mimi ni mfanyakazi serikalini na nina mshahara si mkubwa sana ila unaitosha kwa kuishi na kulipa kodi ila mwezi huu nilipatwa na challenge ambayo ilisababisha nilimaliza hela zote toka tarehe 5/11 kuanzia hapo nikaanza kukopa kwa rafiki wa karibu sasa imekuwa too much mpaka naona aibu kukopa tena
Nimekuwa nikila mlo mmoja kuanzia tar 5/11 mpka sasa naona hali yangu sio nzuri kiafya. Nimejaribu kuuza simu bila mafanikio ya kupata mteja.
Naomba mnisaidie dada yenu kuna muda nawaza hata kwenda kujiuza maana sina namna ya kuishi.
Najua mtauuliza nimenunua vipi vocha na kuweka mb ni Hivi nilikua nimebakiwa na 500 tu nikaona nitumie njia hii labda naweza pata msamaria humu wa kunikopesha hata kwa riba.
Natanguliza shukrani za dhati kwa atakaenisaidia mkopo wa sh 5000 kwa riba ya 5000.
Ukiguswa kunikopesha naomba nione pm nikupe namba
Msaada wa haraka wanajf kabla MB hazijaisha zikiisha hata hiyo pm sijui nitaifunguaje