Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 798
- 843
Wakuu msinicheke mficha uchi hazai
Siku hizi nimepata sijui ni depression, sijui stress sijui ni anxiety au nini.
Siku za nyuma nilipokuwa na mpenzi yeyote au wapenzi, basi nikimtafuta mpenzi through phone either text au call, hata hasipopokea basi nachukulia poa yaani don't Care, ajibu asijibu basi, sijui kwa kuwa nilikuwa busy Sana kwa wakati huo au la.
Now days kazi ninazofanya haziniweki Sana busy Kama zamani, Sasa kimbembe nikimtafuta mpenzi wangu hasipojibu kwa wakati roho inauma, yaani stress zinapanda hadi BP inaweza panda, nikimuomba kitu hasiponikubalia kwa muda huo naona Kama hanitaki, basi Ni stress mwanzo mwisho moyo unaenda mbio hadi njishangaaa.
Hii hali imenifanya nisitafute mademu kwa kuhofia wakinikorofisha kidogo stress zitaniua. Zamani sikuwa hivi sijui ni ugonjwa gani au nimerogwa.
Ndugu zangu mnawezaje ku control stress, wasiwasi kwenye mapenzi.
Naona nitakufa bure kwa nonsense reasons