Msaada: Mapenzi yananinyima raha, sijui ni psychological problem

Huwa inaitwa insecurity, ni zao la kupenda kitu kupita kiasi kwamba unakuwa na hofu kisipotee au kuharibiwa! Mara nyingi kichocheo ni kuwa loose bila kuwa busy inaupa muda akili yako kufikiria mpenzi zaidi kuliko mambo mengine.

Hii hali ikikutokea kwa mpenzi wako manaake utaanza kumchunga,utaanza kutaka akujibu sms kila unapotuma tu,akiteleza kidogo utaanza kuhisi analiwa nje na wahuni! Akikunyima K ndio moto utawaka balaa!
Ni kwa vijana zaidi, ukishaingia utu uzima na uzee wala haisumbui
 
Poa tu,kwanza ndo vizuri

Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
Mi nilipitia hali hiyo ya kuwa na muwaza na kumfuatilia demu wangu, yaani asipojibu msg au kupokea cm nilikuwa nahangaika sana, baadae nikaanza mpotezea kidogo kidogo nikashangaa yeye alivyoukuwa ana piga simu na ma message kama yote!!!! nikagundua kua attention niliyokuwa na mpatia ndiyo ilikuwa ina mpa kichwa!!! siku hizi wala simtafuti kihivyoo mpka yeye ana lalamika.
 
Safi sana
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom