Hiyo faida ya 100,000 ni baada ya miezi mitatu ? Kama ni ndio hiyo biashara sio Bora ufanye kingine.Hahah sasa faida 100,000 mfano kodi 62,000 ni 62%. Sasa niendelee nayo. ?
Kila siku unayouza bidhaa kama hukuuza usiandike au andika tarehe na neno leo sijauza.Hiki kitabu, unaandika mauzo kila siku au unaandika kila ukiuza bidhaa?
Nenda kafanye kazi acha kulia ... Hii nchi ukiwa goi goi hutoboi. Hakuna mtu anafanya kazi au biashara kwenye hii nchi ameridhika kwa kila kitu. Nenda kafanye utajua michezo yote ndani ya game. TRA wana negotiation room ukiona Kodi kubwa Cha msingi tunza kumbukumbu za mauzo.Ndugu yangu acha tu. Yani muda huu niko kitandani naona hadi ujinga kwenda kufungua biashara.
Jamaa muoga Sana. Cha msingi awaambie TRA ataanza kulipa kodi baada ya miezi 6 Kama grace period na inaruhusiwa.Kila siku unayouza bidhaa kama hukuuza usiandike au andika tarehe na neno leo sijauza.
Hakuna graceperiod mzee. Ni kuwa baada ya miezi sita unalipa 125,000 ambayo ni sawa tu ungelipa baada ya miezi mitatu mitatu.Nenda kafanye kazi acha kulia ... Hii nchi ukiwa goi goi hutoboi. Hakuna mtu anafanya kazi au biashara kwenye hii nchi ameridhika kwa kila kitu. Nenda kafanye utajua michezo yote ndani ya game. TRA wana negotiation room ukiona Kodi kubwa Cha msingi tunza kumbukumbu za mauzo.
Ninachojua kwasasa ukiwa na biashara mpya utapewa Grace period ya miezi 6 bila kulipa kodi ili ujue trend ya biashara yako. Amka kitandani kafungue goli ndugu. Hii nchi kila mtu anabanwa ukiogopa umepotea.
Nadhani hii ni mistake nilifanya. Lengo langu lilikuwa kupata TIN na lesseni ili niweze kuwa huru kuliko kukimbia kimbiaHaukutakiwa kwenda huko wewe ungefanya biashara kwanza mpaka baadae mtaji ukikua ndio ufuate hizo taratibu, sasa mtaji wa laki sita ukitoa na hizo kodi inabaki ela ambayo ukiifanyia kazi utapata vidonda vya streess maana duka la bidhaaa lina vitu vingi vidogo vidogo na hivi vitu unatakiwa uwe na mtaji ili uwe navyo, kama huna hivyo wateja wanaokuja wanakuuliza bidhaa ambazo huna, Hapo utakosa hamu ya biashara sababu unaona huna kitu unachouza zaidi ya kusumbua akili na kujipa wasi wasi
Hujafikia kiwango cha mauzo cha kutozwa kodi kwenye faida, kodi yako inatozwa kulingana na mauzo ghafi unayofanya.Hiyo faida ya 100,000 ni baada ya miezi mitatu ? Kama ni ndio hiyo biashara sio Bora ufanye kingine.
Nimepewa miezi 6 lakini actually sio grace period. Nimeambiwa miezi 6 ikiisha nilipe 62.5 *2==125,000. Sasa logic ya grace period ni nini?Jamaa muoga Sana. Cha msingi awaambie TRA ataanza kulipa kodi baada ya miezi 6 Kama grace period na inaruhusiwa.
Haya yanaitwa maamuzi ya kujitegemeaHeli uwe mwizi tu au uuze bange tu urisk maisha na hakuna kodi huko.
Mkuu mimi niliulizwa mtaji nikawambia 600,000 na ndio mtaji. Na mauzo ni 5,000-10,000 per day so far. Hayo ni mauzo. Sasa hio mil 10 ya mauzo per year wametoa wapi?ukisoma michango ya wanaJF unagundua wazi watu hawana elimu ya kodi, ila kama ilivyo kawaida yetu tunadhani tunajua kumbe ni kinyume. Jana nilikuwa ofisi za TRA nilienda kufanyiwa makadirio kwenye kibiashara changu kidogo. Muda nipo foleni nilishuhudia watu watatu wanalia. Wamekadiriwa kodi kubwa. Mimi naamini sivyo. Maafisa wa TRA wanakukadiria kodi kadri unavyojieleza. Ukienda kwake ukaropoka-ropoka kodi itakuwa kubwa. ni vizuri kama hujui mambo ya kodi, upate ushauri wa kitaalamu kabla hujaenda kuropoka na baadae kutoa machozi.
Cha msingi na kikubwa jitahidi kupata uelewa wa kodi, pitia kwenye website yao wameweka tax laws. Ukitaka interpretation, visit their offices.
Rudi hapo ofcn kamuone meneja wa eneo husika face to face ukiwa na barua ya lalalamiko lako kodi yko utapunguzwaWakuu za leo.
Katika kupambana na maisha nikaamua kuanzisha duka la rejareja almaarufu la mangi mitaa ya hapa Mwanza.
Nikaenda TRA kusajili TIN bana jamaa wakakadiria kodi nilipe 250,000 kwa mwaka. Sasa yaani nimeshindwa hata cha kuongea nawaambia mimi kwa hii miezi miwili kwa siku hardly naweza pata 10,000. Ikiwa siku nzuri atleast naweza pata 15,000. Hapo hujatoa pango, umeme n.k, Kwa mwezi unaweza ishia na faida ya 50,000. sasa hii kodi ya 250,000 wameitoa wapi. Hafu wanasema mauzo yangu kwa mwaka ni mil 9.6 aseee nimejuta.
Sasa nimeamua kuachana na hii biashara bora nishinde nalala tu. Mtaji wenyewe laki 6.
Je. wakuu hii kodi 250,000 ni reasonable Kweli?
Hafu mbona kama wao wamekaa tu wanakukadiria ili ufeli ubaki na umasikini wako.
Nimeanza namna ya kuacha hii biashara, Kodi ikiisha tu naenda zangu kulima. Sasa ni namna gani naweza sitisha hili kadirio.
Asante