Msaada. Makadirio ya kodi kutoka TRA

Mkuu mimi nakumbuka ilichukua miezi mitatu Hadi nafanyiwa makadirio nilianza biashara mwezi wa kumi nikaenda tra waliniambia nifanye biashara kwanza mwezi January mwaka huu wakanikadiria kodi ambayo nalipa kila baada ya miezi mitatu
Mimi nimeamua kuachana nayo. Soon nitaandika barua ya kusitisha biashara. 250,000 kwa mwaka ni kama 21,000 kwa mwezi. Hujalipa frem, umeme n.k sasa mi nafanyia kazi TRA.
Hafu kumbukumbu si mpaka uwe ulishaendesha biashara atleast kwa muda flani.
 
Mkuu mimi nakumbuka ilichukua miezi mitatu Hadi nafanyiwa makadirio nilianza biashara mwezi wa kumi nikaenda tra waliniambia nifanye biashara kwanza mwezi January mwaka huu wakanikadiria kodi ambayo nalipa kila baada ya miezi mitatu
Walikukadiria kiasi gani na biashara gani mkuu. Imenilazimu kuongea na jirani yangu mwenye duka kubwa na la kitambo. Nimeshangaa kuambiwa analipa 100,000 kwa mwaka.
 
Fomula ni ileile huwezi kulipa kodi zaidi ya uwezo wako wa kibiadhara jaribu kwenda tra wanavijitabu vidogo vinaelezea kodi mbalimbali na kiwango cha mtu anachotakiwa kulipa kutokana na mapato anayopata
Hii biashara yangu ni mpya. Kiasi nimejaribu kuongea nao bado vichwa ngumu. Mtaji 700,000 kodi 250,000/=
 
Hii biashara yangu ni mpya. Kiasi nimejaribu kuongea nao bado vichwa ngumu. Mtaji 700,000 kodi 250,000/=
Usikubali TRA wanapenda kutumia vitisho zaidi ya reasoning ikibidi mwone meneja wao umweleze, sio kwamba hawajui ila wanqlazimisha ili wafikie targe yao
 
Usikubali tra wanapenda kutumia vitisho zaidi ya reasoning ikibidi mwone meneja wao umweleze, sio kwamba hawajui ila wanqlazimisha ili wafikie targe yao
Ndicho nilicho kiona. Mtu anasema tu mauzo yako ni mil 10 kwa mwaka. Namuuliza umetoa wapi anasema makadirio. Sasa kwa siku hardly napata 10,000 sasa mil 10 imetoka wapi. Hawana jibu
 
Walikukadiria kiasi gani na biashara gani mkuu. Imenilazimu kuongea na jirani yangu mwenye duka kubwa na la kitambo. Nimeshangaa kuambiwa analipa 100,000 kwa mwaka.
Nalipa kama hiyo kwa mwaka kutokana na record zangu za mauzo kwenye kitabu pia walifika kijiweni kwangu wakakagua wakaridhika na Iyo kodi

Nnachokushauri mkuu andika mauzo Yako yote kwenye kitabu itakusaidia Sana maana ukiandika barua ya kupunguziwa kodi kwamba biashara haiendi watataka kumbu kumbu zako za mauzo
 
Basi sawa mkuu. Ila frankly itanishinda hii kodi.
 
Kuna elimu ya kodi wanatuficha
Mtaji kuanzia 0- milioni 4 uwezi kukadiliwa kodi kwa kuanza ila utalipa malipo madogo kupata leseni isiyo kuwa na makadilio mpaka ikivuka malengo wakija kukagua kukuta umevuka mtaji uliowekwa.
 
Kitu wanachoshindwa kuelewa wengi makadirio ya kodi hayafanywi na tra unafanya mwenyewe unapoanza biashara ndio maana unapewa fomu ya kujaza ya assessment, wao wataangalia mtaji wako na gharama ya pango unalolipa kisha wataangalia kama vimeoana na makadirio uliyojaza.
Njia rahisi ni kutumia wahasibu ila gharama za wahasibu ni kubwa.
 
Wakuu za leo.
Katika kupambana na maisha nikaamua kuanzisha duka la rejareja almaarufu la mangi mitaa ya hapa Mwanza.
Nikaenda TRA kusajili TIN bana jamaa wakakadiria kodi nilipe 250,000 kwa mwaka. Sasa yaani nimeshindwa hata cha kuongea nawaambia mimi kwa hii miezi miwili kwa siku hardly naweza pata 10,000. Ikiwa siku nzuri atleast naweza pata 15,000. Hapo hujatoa pango, umeme n.k, Kwa mwezi unaweza ishia na faida ya 50,000. sasa hii kodi ya 250,000 wameitoa wapi. Hafu wanasema mauzo yangu kwa mwaka ni mil 9.6 aseee nimejuta.
Sasa nimeamua kuachana na hii biashara bora nishinde nalala tu. Mtaji wenyewe laki 6.
Je. wakuu hii kodi 250,000 ni reasonable Kweli?
Hafu mbona kama wao wamekaa tu wanakukadiria ili ufeli ubaki na umasikini wako.
Nimeanza namna ya kuacha hii biashara, Kodi ikiisha tu naenda zangu kulima. Sasa ni namna gani naweza sitisha hili kadirio.
Asante
Kama mtaji ni laki sita, ungetumia tu kile kitambulisho cha wamachinga kile cha shs 20,000
Ila kama mtaji ungekuwa mkubwa zaidi, unatakiwa upewe miezi sita ndio uanze kulipa kodi
 
Kama mtaji ni laki sita, ungetumia tu kile kitambulisho cha wamachinga kile cha shs 20,000
Ila kama mtaji ungekuwa mkubwa zaidi, unatakiwa upewe miezi sita ndio uanze kulipa kodi
Nataka kuanza mchakato wa kusitisha biashara pango likiisha, nitawaandikia barua kusitisha biashara. Hakuna namna. Nitajipanga tena.
 
Ukiona ni ngumu lipa kwa awamu mkuu inawezekana.
Sasa jidanganye ufunge Biashara bila kuonana na Meneja huko tena ukiwa na maandishi utajuta...baada ya miaka kadhaa utapigwa faini ya kutosha + madeni kibao.
Namuandikia barua kabisa. Frankly siwezi endelea na hii biashara. Unless nikubali kuwa mtumwa wa TRA. Nitaifunga hakuna neno nitawapa na barua kabisa wakitaka waje wakague tu.
Nitatafuta cha uchinga tu
 
Kuna elimu ya kodi wanatuficha
Mtaji kuanzia 0- milioni 4 uwezi kukadiliwa kodi kwa kuanza ila utalipa malipo madogo kupata leseni isiyo kuwa na makadilio mpaka ikivuka malengo wakija kukagua kukuta umevuka mtaji uliowekwa.
Unaandika ujinga, too much know, kumbe hujui kitu. POOR YOU
 
Back
Top Bottom