prumpeti
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 1,021
- 2,279
unayo hela???tuanzie hapoHabarini wakuu,
Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani.
View attachment 2100999
unayo hela???tuanzie hapoHabarini wakuu,
Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani.
View attachment 2100999
Asante boss.Currently nimeshasogea hatua zingine tayarunayo hela???tuanzie hapo
Tuombe uzima tu mkuu.Napambana na nathubutuNyumba haijafika hata 300sqm watu mnamtisha kuwa ni kubwa sana.
Shida ya kuzoeshwa & kukaririshwa nyumba za 100-120sqm hii.
Usikatishwe tamaa na baadhi ya comments za humu mkuu wewe endelea kukaza. Mungu ni mwema siku zote utafanikisha ndoto yako.Tuombe uzima tu mkuu.Napambana na nathubutu
Samahani. Sijasoma comments zote so sijui kama mtu kauliza. Naona kama vyoo vya vyumbani vina choo cha kujisaidia na sinki la kunawia mikono tu. Vipi kuhusu sehemu ya kuogea? Ramani ilivyochorwa inaonekana nafasi ni ndogo. Hata powder room ambayo tunategemea huwa ina choo na sink tu hapo inaonekana kubwa kuliko vyoo vya vyumbani.Habarini wakuu,
Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani.
View attachment 2100999
Samahani. Sijasoma comments zote so sijui kama mtu kauliza. Naona kama vyoo vya vyumbani vina choo cha kujisaidia na sinki la kunawia mikono tu. Vipi kuhusu sehemu ya kuogea? Ramani ilivyochorwa inaonekana nafasi ni ndogo. Hata powder room ambayo tunategemea huwa ina choo na sink tu hapo inaonekana kubwa kuliko vyoo vya vyumbani.
Corridors nyingi kwa kweli sijaona sababu za uwepo wa zote hizo zaidi ya kuwa abda mteja ndo anapenda hivyo. Ikiwezekana zingatia kurekebisha hilo mapema.
Hili tatizo lipo. Technology na exposure navyo vimesaidia. Kuna apps za bure mtu anajitengenezea plan mwenyewe anaingia site. Pia kuna plans za kudownload mtu anaingia nazo site.Fani ya ramani imevamiwa vibaya sana! Mpka wahasibu wanachora siku hizi! Hi ramani ningekua steve ningesema Poor poor! Ni engenering unsound
Habarini wakuu,
Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani.
View attachment 2100999
Kiongozi utazungusha bomba za maji na chemba nyumba nzima
Duh ngoja mafundi waje watuambie hapa tupate shuleHabarini wakuu,
Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani.
View attachment 2100999
aaah mbombo yingafuFUTURE HUNTER huyu jamaa hajasema uongo. Ila itafika 150mil na fence pavements n.k
Asante mkuu kwa maboresho.hii ndio sababu nimeileta kwenu wadau ili mnisaidie pa kuboresha ili nitoke na kitu kilicho soundSamahani. Sijasoma comments zote so sijui kama mtu kauliza. Naona kama vyoo vya vyumbani vina choo cha kujisaidia na sinki la kunawia mikono tu. Vipi kuhusu sehemu ya kuogea? Ramani ilivyochorwa inaonekana nafasi ni ndogo. Hata powder room ambayo tunategemea huwa ina choo na sink tu hapo inaonekana kubwa kuliko vyoo vya vyumbani.
Corridors nyingi kwa kweli sijaona sababu za uwepo wa zote hizo zaidi ya kuwa abda mteja ndo anapenda hivyo. Ikiwezekana zingatia kurekebisha hilo mapema.
Nishauri mkuu eneo gani nirekebishe ili nisiingie hasara huo upande wa plumbingKiongozi utazungusha bomba za maji na chemba nyumba nzima
Mkuu nashukuru kwa mawazo.je naweza boresha ikiwa hivyo hivyo na fundi site au itahitaji kuichora upya kabisa from scratch?Hiyo ramani itamuongezea gharama za unnecessary nying sana kwa kosa la mchoraji!
Kihandisi ukichora ramani lazima uzingatie maeneo yenye sifa znazofanana yakae pamoja (mfano sehemu zote ambazo kutakua na maji taka bas ziwe karbu ili upunguze gharama za plumbing na kutokua na machemba around nyumba nzma)
Ramani ina kona unnecessary kibao ambazo zitaongeza sana gharama za tofali, mbao za kupaulia, mabati na finishing zote!
Funny enough aliyechora kalipwa wakat amemuongezea cost! Hata dimension tu azijakaa kihandisi
Mchoraji anafata mahitaji ya mteja na kumshauri piaHiyo ramani itamuongezea gharama za unnecessary nying sana kwa kosa la mchoraji!
Kihandisi ukichora ramani lazima uzingatie maeneo yenye sifa znazofanana yakae pamoja (mfano sehemu zote ambazo kutakua na maji taka bas ziwe karbu ili upunguze gharama za plumbing na kutokua na machemba around nyumba nzma)
Ramani ina kona unnecessary kibao ambazo zitaongeza sana gharama za tofali, mbao za kupaulia, mabati na finishing zote!
Funny enough aliyechora kalipwa wakat amemuongezea cost! Hata dimension tu azijakaa kihandisi
Mchoraji anafata mahitaji ya mteja na kumshauri pia
Hapa inaonekana mteja anahitaji privacy na luxury kubwa. Wasiwasi wangu ni umuhimu wa maliwato kila chumba, je watumiaji watazingatia usafi uliotukuka?
Naona ni muhimu zaidi vyumba viwili tu kuwa na maliwato, master na cha wazazi/wazee/wageni wenye hadhi/ wagonjwa.
Watoto na wageni wasiojitambua ni ngumu sana kuzingatia usafi, utajikuta unasugua masinki na marumaru mwenyewe huku unatuk*** kimoyomoyo!
Ramani nzuri sana, uzungu umezingatiwa so hela isiwe ya mawazo hapo.