Msaada makadirio kwa ramani hii

Habarini wakuu,

Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani.

View attachment 2100999
Samahani. Sijasoma comments zote so sijui kama mtu kauliza. Naona kama vyoo vya vyumbani vina choo cha kujisaidia na sinki la kunawia mikono tu. Vipi kuhusu sehemu ya kuogea? Ramani ilivyochorwa inaonekana nafasi ni ndogo. Hata powder room ambayo tunategemea huwa ina choo na sink tu hapo inaonekana kubwa kuliko vyoo vya vyumbani.

Corridors nyingi kwa kweli sijaona sababu za uwepo wa zote hizo zaidi ya kuwa abda mteja ndo anapenda hivyo. Ikiwezekana zingatia kurekebisha hilo mapema.
 
Fani ya ramani imevamiwa vibaya sana! Mpka wahasibu wanachora siku hizi! Hi ramani ningekua steve ningesema Poor poor! Ni engenering unsound
 
Hili tatizo lipo. Technology na exposure navyo vimesaidia. Kuna apps za bure mtu anajitengenezea plan mwenyewe anaingia site. Pia kuna plans za kudownload mtu anaingia nazo site.
Mafundi na "semi-professional architects" nao wanachora ramani na wanafanya kazi kwa haraka hivyo sometimes makosa madogo madogo kama hilo la bafu yanatokea.
 
Kiongozi utazungusha bomba za maji na chemba nyumba nzima

Hiyo ramani itamuongezea gharama za unnecessary nying sana kwa kosa la mchoraji!
Kihandisi ukichora ramani lazima uzingatie maeneo yenye sifa znazofanana yakae pamoja (mfano sehemu zote ambazo kutakua na maji taka bas ziwe karbu ili upunguze gharama za plumbing na kutokua na machemba around nyumba nzma)
Ramani ina kona unnecessary kibao ambazo zitaongeza sana gharama za tofali, mbao za kupaulia, mabati na finishing zote!
Funny enough aliyechora kalipwa wakat amemuongezea cost! Hata dimension tu azijakaa kihandisi
 
Samahani. Sijasoma comments zote so sijui kama mtu kauliza. Naona kama vyoo vya vyumbani vina choo cha kujisaidia na sinki la kunawia mikono tu. Vipi kuhusu sehemu ya kuogea? Ramani ilivyochorwa inaonekana nafasi ni ndogo. Hata powder room ambayo tunategemea huwa ina choo na sink tu hapo inaonekana kubwa kuliko vyoo vya vyumbani.

Corridors nyingi kwa kweli sijaona sababu za uwepo wa zote hizo zaidi ya kuwa abda mteja ndo anapenda hivyo. Ikiwezekana zingatia kurekebisha hilo mapema.
Asante mkuu kwa maboresho.hii ndio sababu nimeileta kwenu wadau ili mnisaidie pa kuboresha ili nitoke na kitu kilicho sound
 
Hiyo ramani itamuongezea gharama za unnecessary nying sana kwa kosa la mchoraji!
Kihandisi ukichora ramani lazima uzingatie maeneo yenye sifa znazofanana yakae pamoja (mfano sehemu zote ambazo kutakua na maji taka bas ziwe karbu ili upunguze gharama za plumbing na kutokua na machemba around nyumba nzma)
Ramani ina kona unnecessary kibao ambazo zitaongeza sana gharama za tofali, mbao za kupaulia, mabati na finishing zote!
Funny enough aliyechora kalipwa wakat amemuongezea cost! Hata dimension tu azijakaa kihandisi
Mkuu nashukuru kwa mawazo.je naweza boresha ikiwa hivyo hivyo na fundi site au itahitaji kuichora upya kabisa from scratch?
 
Hiyo ramani itamuongezea gharama za unnecessary nying sana kwa kosa la mchoraji!
Kihandisi ukichora ramani lazima uzingatie maeneo yenye sifa znazofanana yakae pamoja (mfano sehemu zote ambazo kutakua na maji taka bas ziwe karbu ili upunguze gharama za plumbing na kutokua na machemba around nyumba nzma)
Ramani ina kona unnecessary kibao ambazo zitaongeza sana gharama za tofali, mbao za kupaulia, mabati na finishing zote!
Funny enough aliyechora kalipwa wakat amemuongezea cost! Hata dimension tu azijakaa kihandisi
Mchoraji anafata mahitaji ya mteja na kumshauri pia
Hapa inaonekana mteja anahitaji privacy na luxury kubwa. Wasiwasi wangu ni umuhimu wa maliwato kila chumba, je watumiaji watazingatia usafi uliotukuka?
Naona ni muhimu zaidi vyumba viwili tu kuwa na maliwato, master na cha wazazi/wazee/wageni wenye hadhi/ wagonjwa.
Watoto na wageni wasiojitambua ni ngumu sana kuzingatia usafi, utajikuta unasugua masinki na marumaru mwenyewe huku unatuk*** kimoyomoyo!

Ramani nzuri sana, uzungu umezingatiwa so hela isiwe ya mawazo hapo.
 
Umeongea on social perspective while mm nmeangalia on engineering perspective! Hyo ramani ina makosa mengi ya kihandisi.
 
Back
Top Bottom