Msaada: Mahari kwa wasambaa inatolewaje?

Werrason

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
12,326
38,191
Habari wana MMU.

Kuna rafiki yangu anajiandaa kwenda kujitambulisha ukweni Lushoto Tanga, sasa alikuwa anaomba msaada wa mtu anaejua utaratibu na hata kuorodhesha vitu vinavyotakiwa kwenye mahari kwa kabila la wasambaa.

Atashukuru kwa msaada wenu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwa utaratibu ulivyo, huyo rafiki yako inampasa atafute mshenga atakaetumwa ukweni, mshenga ataulizwa mko tayari kwenda lini kujitambulisha na atapewa orodha ya vitu vinavyohitajika.
 
Kwa utaratibu ulivyo, huyo rafiki yako inampasa atafute mshenga atakaetumwa ukweni, mshenga ataulizwa mko tayari kwenda lini kujitambulisha na atapewa orodha ya vitu vinavyohitajika.

We Msambaa?
 
Wasamba huwaga wanatoroshwa kwanza binti unakaa nae then baadae unatuma wazee kwenda kutoa taarifa kama posa vile na wanakupiga fain then mnapanga ndoa
 
Kwa utaratibu ulivyo, huyo rafiki yako inampasa atafute mshenga atakaetumwa ukweni, mshenga ataulizwa mko tayari kwenda lini kujitambulisha na atapewa orodha ya vitu vinavyohitajika.

Kwenye kwenda kujimbulisha hapo amesema sio pagumu maana ameshajua yatakiwayo, mziki ni mahari! Anataka kuwa hata na idea.
 
Wasamba huwaga wanatoroshwa kwanza binti unakaa nae then baadae unatuma wazee kwenda kutoa taarifa kama posa vile na wanakupiga fain then mnapanga ndoa

Hataki kumvunjia binti heshima kwa wazaziwe mkuu.
 
Unajua ukisema Tanga watu wengi akili inawapeleka kule tanga mjini pwani mambo ya kanga moja,ngoja niwape ufahamu ,Tanga kama mkoa iumeathiriwa na tamaduni mbili tofauti,Tanga iliyoathirika na mwarabu kwa maana ya Tanga mjini,pangani, handeni kidogo muheza kidogo, huku wengi ni waislam na tanga iliyoathirika na mjerumani,kilindi,korogwe na lushoto wengi ni wakristo huku ilipaswa kuungana na Same na Mwanga kwa wapare wakatengeneza

Mkoa wao kuliko wapare kuwa kwenye mkoa wa wachaga kwani hawaendani,sasa hawa wasambaa wa kilindi,lushoto na korogwe wana maadili sana ,hawana mambo ya kukaa vibarazani kwani wanatoka familia za wakulima na wafugaji tofauti na wale wa tanga mjini kanga moko wana wajomba uarabuni hawalimi wala hawavuni bwana huwalisha.
 
Mambo yote huwa anamaliza mwanamke kwa kuzungumza na shangazi yake.mbona unaongea uwongo mtoa mada wakati wewe ndio mhusika?
 
mdukuzi

Hayo matusi sasa kwamba hawa wengine hawana maadili
 
Last edited by a moderator:
Boha debe mbili, mnazi kibuyu kimoja kikubwa, ungo wa nkhungu mkaja, namengine wengine watamalizia.............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom